Anahitajika: Supplier wa Samaki(awe Mwanza)

Anahitajika: Supplier wa Samaki(awe Mwanza)

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Wadau,

Nahitaji Supplier wa uhakika wa samaki wabichi (Sato na Sangara) kutoka Mwanza kwa bei ya Jumla.

Anaitajika awe Mwanza na aweze kituma mzigo Dar es salaam.

Karibuni.
 
Hajibu pm wala nini

nipo mwanza hapa naanza kazi mda wowote
 
Back
Top Bottom