Anahitajika Training Assistant

MarkD

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
72
Reaction score
43
Anahitajika kijana wa kiume kwa kazi maalum Dar Es Salaam na uwezekano wa kusafiri Mikoani. Malipo Tsh. 20,000 kwa siku. Awe na kiwango cha elimu ya Diploma au Degree, awe na uwezo wa kujieleza/kushawishi kwa ufasaha.

Anatakiwa haraka. Nipigie 0712066064 kwa maelekezo zaidi. Nitapokea simu kuanzia sasa na mwisho ni kesho Alhamis tarehe 27 Jan 2022 saa 4:00 asubuhi.
 
WA kike je jaman tunakufa njaa huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…