Nisipotoa shukrani kwa Uongozi wa JF na kwa wana JF kwa ujumla nitakuwa sitendi haki, Hivyo nasema asanteni sana kwa kunifikishia ujumbe, Hakika huu mtandao una hazina kubwa sana.
Na napenda kusema nimepata request za kutosha na sasa tupo kwenye mchanganuo wa kupata the best 3. Kwa wale ambao tuliwaomba watupatie CV na walau website mbili walizofanyia kazi mwisho wa kupokea maombi hayo ni Jumatano 29.04 saa 18:00 East African Time. Hivyo ukituma ombi lako baada ya hapo halitashughulikiwa.
Vile vile wale ambao wametuma maombi yao fully expect to hear us by Friday both successfully and unsuccessfully will be informed.
Those who will be successfully will go to the second round where hey will be required to write a technical proposal basing on the Terms of Refrence (ToR) which will be provided.
asanteni kwa ushirikiano na karibuni kujipatia Huduma za GM Consult.
Kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara hawajui waanzie wapi We have solution for you
Kwa wale wanataka kuendeleza biashara zao, ama wanataka kukopa lakini hawajui waende wapi come tu us we will guide you.
Kwa wale wanaotaka kutengenezewa mchanganuo wa biashara(Business Plan) we are the Expert. And many more...
Kwa sasa tunashugulikia suala la Office Dar, Arusha na Mwanza. so keep close watch on our website:
gmconsultz.com na kama una swali, dukuduku, ushauri, pendekezo, maoni, dokezo basi usisite kutuandikia email
info@gmconsultz.com, ama
ceo@gmconsultz.com
Karibuni