Anahofia kaambukizwa HIV

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,718
My best friend kabisa ameniambia he had a sex with a bitch juzi kati hiv. Sasa condom ikapasuka na wali do kama 30 or 40 seconds hiv. Then akaenda toilet akajisafisha and akasema aka urinate pia. Naona kama yupo down sana, hiv in that case kuna possibility yeyote ya ku contract HIV?... embu wajuaji naomba mumsaidie maana kichwa kipo hiv :flame:
 
Possibility ipo. Muambie akapime na apate ushauri wa kitaalamu.
 
Km alijua ni bitch kwann amesex nae,anajuta wkt kashafanya nae?tuwen makin jmn!asubir kdg japo 3month ndo akachek,pole!
 
Unalo, na uzinzi utakuishia sasa;
Ni heri nisifanye kuliko kurisiki maisha yangu.
 
Kapime HIV Dogo acha kumsingizia rafiki yako.
 
maswali mengine bhana, mnajaza server za JF pasipo mpango wowote. Wewe mleta uzi, hata kama ungekuwa 'jr' kiasi gani, kwa umri wako huo na katika dunia ya leo iliyojaa elimu-ukimwi, sitegemei kabisa uulize swali la kitoto kama hilo. By the way... yote yanawezekana: kuukwaa au kuponyoka! plz avoid panic and stop being under pleasure, shits happen.
 
Unalo, na uzinzi utakuishia sasa;
Ni heri nisifanye kuliko kurisiki maisha yangu.

Mwenye uwezo wa kuhukumu ni Mungu peke yake, hii dhambi inafanywa kwa siri sana, huenda wewe mwenyewe ukawa ni mkali wa kubanjua amri ya 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…