Anahoji Mshabiki wa Simba: Tulikula 5 mayele alikuwepo ?

Anahoji Mshabiki wa Simba: Tulikula 5 mayele alikuwepo ?

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Kumbe bado wapo mashabiki wenye uelewa .
Nenda Instagram kwa maelezo zaidi .

Nafikiri pamoja na kuto perform pyramid mayele Ana frustration na ile mechi ya Tanzania v DRC alikamatwa vizuri na beki ya stars ya kina mwamnyeto na bacca vijana wa yanga haku score.
 

Attachments

  • 7F06618A-C647-4B9A-929B-5BBA3D0B1B01.jpeg
    7F06618A-C647-4B9A-929B-5BBA3D0B1B01.jpeg
    1.1 MB · Views: 5
Mpira ungekuwa uchawi wale waliochoma uwanja wangeshinda , Nigeria ,Haiti na Kongo wangekuwa maBingwa wa dunia .

Tuache porojo Mpira ni sayansi na teknolojia.
 
Eti hili ndiyo jini alilotupiwa Mayele?
 
Back
Top Bottom