bablon6 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 630 Reaction score 566 May 5, 2018 #1 Utakuta wanakupa timu 16 ukishinda kumi hawakupi hela yako ni kwanini eti?
JFK wabongo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 3,887 Reaction score 3,197 May 5, 2018 #2 Je uliwahi kujiuliza kale ka msemo kasemako "vigezo na masharti kuzingatiwa " kana maana gani?