HR CONSULTANT
Member
- Jun 7, 2010
- 76
- 8
Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mpishi wa vyakula hivyo...alipata tuzo ..Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
Chakula cha Kiafrika kikoje? Nijuavyo mimi Afrika ni kubwa na kila eneo wana vyakula vyao, unaposema vyakula vya kiafrika unamaanisha nini hasa?
Yeye anatafuta Chef wa vyakula vya Kiafrika, sijui viko vipi hivyo vya kula.Wengine wanakula hadi konokono
niko serious mkuu naomba nipe mawasiliano yake nitamtafuta.Kuna mpishi wa vyakula hivyo...alipata tuzo ..
Kama uko serious nimwambie ..