Elon SpaceX
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 127
- 259
he is like an innocent boy..jamaa anajua sana kiufupiHe has a very relaxed tone..
Hatumii nguvu kiviilee... But he kills it
nzuri sana hii 🙏Marshmallow ft Khalid - Silence
ahsante mkuuAisee uko vizuri na ulichokiandika ni ukweli pure.
Jamaa anakimbiza top 5 kwenye hot 100 billboard na ngoma yake ya "talk"
YUKO VIZURI, NILIWAHI KUMSIKILIZA MARA 2 TATU
O.T.W naikubali thats why ina appear kwa kila comment anguSilence
OTW
love lies
Better now [emoji7]
Sie wa Asap Ferg, na Schoolboy Q tuna comment wapi?Album yake ya free spirit sijaipenda sana kama ile ya american teen ila yuko vizuri .. napenda sikiliza mziki wake
My best ni postmalone nakubali iki kichwa
Sie wa Asap Ferg, na Schoolboy Q tuna comment wapi?
UNAPATA SHIDA GANI MKUU KUSOMA?Usicomment Na herufi kubwa bhana
HAPANAKabla sijapoteza MB zangu naomba kuuliza, huyo chalii anaimba ni HipHop ?
ASANTE KAKA MKUBWA
Pata burudani hiyo
6lack kaweka vionjo vitamu sana humoNimemuelewa zaidi kwenye hii collabo na 6lack