Anajijua yeye ni namba moja, hakuna wa kumshusha kipindi hiki lakini kitu kinachomuumiza kichwa ni uwepo wa Alikiba katika muziki wa Tanzania

Hii siri ilikuwa ya waty watatu..sasa ktk hao watu watatu wewe ni salam SK, diamond platnumz ama harmonize?

Kama ktk watu wote hao wa3 ukiwa wewe sio mmoja kati yao hakika utakuwa na sifa hii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
japo stori umeitengeneza,. ila ukweli alikiba ajiandae kufulia sana asipokuwa mjanja... hater wa diamond ndio walikuwa wanamfanya awe juu.. hao hater watahamia kwa harmonize..

hapo alikiba anatakiwa akaze sana ili asipotee
Sasa lile li ajuza unalitajia nini hakuna msanii pale lile ni garasa tu,afu harmonize usimuweke pamoja na king himself diamond platinumz sawa maana ni mbingu(diamond) na ardhi(harmonize).
 
hii stori katoa fb kwa kijana machachari kwa kutunga stori zenye mashiko ya aina yake bwana NYEMO CHILONGANI..! labda km hii ni id ya nyemo! ila zaid zaid ni c&p toka kwa account ya fb ya nyemo
 
Mkuu wengi wanakusifia lakn hawajakupa like yyte... Vip boss umetumia siku ngap kuandika huu upupu??
 
Huwezi kutunga kitu kama hii kama hujasmoke some weed... Ukishavuta stiki kadhaa ndo kichwa huweza kubuni mambo kama haya
 
Copy & paste...muwege mnawapa credit mnapotoa hizo habari..wenzenu waumize vichwa nyie mje mpate credit zisizostahili.
 
jf utoto mwingi sn unawezaje kukopi story ya m2 na kuileta humu km vile ww ndo mtunzi?!...great thinker should appreciate and give credit to the source but to pretend you are the source is totally unmatured!
 
aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…