Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Dah asee katavi endelea kudadisi huyo house geli, inawezekana kuna makubwa zaidi ya hayo anayofanyiwa na huyo mwanamke.Kuna kipindi jamaa huwa anafungiwa mlango analala sebuleni akichelewa....hii niliipata kwa hausigeli baada ya kumdadisi wanavyoishi.
Jamaa tukimwambia achukue maamuzi magumu anajitetea kuwa mtoto atapata taabu. Wamejaaliwa kupata mtoto mmoja.huyo jamaa vipi ... alishapewa go ahead na wazazi wake sasa anataka ushauri gani zaidi?? ... hapo anajitia pressure tu ... mfupa alioushindwa fisi binadamu utauweza?? mwambie awe mwanaume na sio wa kiume!!
Kama ameamua kuwa jeuri kiasi hicho
Mwambie huyo rafiki yako achukue likizo
asafiri kwa wiki au mbili
Asiache matumzi wala nini..
labda hapo ataitambua thamani ya mumeo..
Ahaaa ahaaa ahaaaaa :lol::lol:Kama ameamua kuwa jeuri kiasi hicho
Mwambie huyo rafiki yako achukue likizo
asafiri kwa wiki au mbili
Asiache matumzi wala nini..
labda hapo ataitambua thamani ya mumeo..
Dah!!! Huyu hausigeli atakuwa anajua mambo mengi sanaKuna kipindi jamaa huwa anafungiwa mlango analala sebuleni akichelewa....hii niliipata kwa hausigeli baada ya kumdadisi wanavyoishi.
Kuna siku aliibuka ofisini kwa jamaa, akamkosa ofisini kwake kumbe alikuwa nje anaongea na sekretari mambo ya kiofisi. Ilikuwa ni ugomvi, jamaa kajitahidi kumueleza kuwa yule ni mfanyakazi mwenzake lakini mama hataki kuelewa. Nikaitwa kwenda kusuluhisha, ndio siku niliyopigwa marufuku kukanyaga pale eti mimi ndio namtafutia jamaa wanawake na nimemfundisha kiburi!Dah asee katavi endelea kudadisi huyo house geli, inawezekana kuna makubwa zaidi ya hayo anayofanyiwa na huyo mwanamke.
Afrodenzi umesema
ikizingatia ni mama wa house atakula jeuri yake
Ahaaa ahaaa ahaaaaa :lol::lol:
Huu ndio ushauri tuliompa mwanzo kuwa amtafutie shughuli ya kufanya, lakini kama walivyosema wazazi wa binti siku ya harusi yule mwanamke hataki kufanya kazi ni mvivu sana.hapo tatizo naona ni huyo mama kutokuwa na la kufanya
kukaa nyumbani muda mwingi kunaboa mtu unaweza ukawa depressed
ukiachilia ana house gal ndo kabisaa ina mana ya kwamba kazi nyingi anafanya haus gal..sasa yeye afanye nini?ndo hapo linakuja swala la kumchokonoa mumewe ye akidhani anajenga kumbe anabomoa.na atakuja kujuta huyo mama kwa nayoyafanya kama hatoacha.
kuna jirani yangu alimfanyia mumewe hivyohivyo alianza hataki marafiki mara hataki atoke nje mara akamroga kabisa mume akaacha kazi akawa kama zembe tu home..mume akaja kufariki ndo tukajua ukweli yule mama akawa analia kwa kuongea maushenzi aliyomfanyia mumewe mpaka akawa zoba..
Katavi mshauri rafiki yako sidhani kama anataka kuend up like that.achukue hatua angali mapema..hapo alipo tu keshakuwa zoba sasa akiendelea na kazi ataacha..duuh huruma.pole zake
Ahaaaa ahaaaa:lol::lol: yaani unazidi kunichekesha tu aisee tafadhali usinifanyie hivyo hivi haunionei huruma tu hali tulionayo hizo KUNG FU PANDA zinatosha l.o.lHivi we utafurahi nikikufanyia hivyo?
Huu ndio ushauri tuliompa mwanzo kuwa amtafutie shughuli ya kufanya, lakini kama walivyosema wazazi wa binti siku ya harusi yule mwanamke hataki kufanya kazi ni mvivu sana.
Jamaa anachoogopa ni pale akiwa mkorofi huenda wataachana na mtoto eti atapata shida.Duuuh
Hivi huyu mshikaji hajawahi kuwa mkorofi hata utotoni???
Nahisi hata ikitokea mkewe anatongozwa na njemba nyingine jamaa ata-mute tu kwa sababu ya upole wake. Na hata akiongea atatulizwa na waif wakee tu. Udhaifu mkubwa huu kwa mwanaume
Mkuu Katavi
Mwambie jamaa kwamba kuwa mpole too much ni udhaifu mkubwa sana ktk maisha
Kiongozi yeyote hata wa makazini wanalazimika kuwa wakali ili kazi zifanyike, na nidhamu ichukue mkondo wake
Ni sawa kwenda kusema kwa wakubwa lakin kama yeye hawezi kujitambua kama kiongozi wa nyumba na familia basi ataendelea kupelekeshwa aisha yake yote.
Mwambie pia hakuna mapenzi ya namna hiyo bali anaburuzwa.
Abadilike na aanze kuwa Baba wa kweli, kuwa na familia sio lelemama.
Mwanamke mvivu, jeuri, hapatani na majirani, mgomvi, ukiwa mvivu lazima uwe mchafu sasa huyo mwanamke wa kazi gani
ushauri wa mwisho apewe talaka akajifunzi upya
Jamaa anachoogopa ni pale akiwa mkorofi huenda wataachana na mtoto eti atapata shida.