Jamani hii kali ndg zng,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia cm shoga yk na kumlala mikia kilio chk kua mumewe anamlawiti mtoto wk ambae kazaa na mume mwingine,ni mr nyng anamlalamikia shoga yk,shoga akatoa tarifa polic mume kakamatwa na mke amtoa mume kwa madai kua hakum2ma ampeleke polic kwn mumewe wametoka mbl na pia alimtolea figo akiwa mjamzito khy hwz kumshtk na ilo2kio mara nyng anamfanyia mtt anamiaka mi3 wa kike,je mtt angekua wk ungejickiaje na mwanamke 2mueke ktk kundi gn?

Mkuu hii ni zaidi ya Dotcom! Hii ni lugha kutoka mkoa fulani sijui ni mkoa wa majeshi au polisi, au mkoa wa shule za kata sielewi! Nimerudia mara mbili sikuambulia kitu, ikabidi nipitie posts za wachangiaji ili niungeunge angalau nipate maana!DotCom hii! Anyway, ni uandishi unafikirisha.
Poleni kwa waloboreka,but wale ma bingwa wa charting hawakutoa malalamiko ni kwakua wamezoea iyo hali.na nyie slow learner tutaenda mdogo mdogo km tunanyata.Mkuu hii ni zaidi ya Dotcom! Hii ni lugha kutoka mkoa fulani sijui ni mkoa wa majeshi au polisi, au mkoa wa shule za kata sielewi! Nimerudia mara mbili sikuambulia kitu, ikabidi nipitie posts za wachangiaji ili niungeunge angalau nipate maana!
Huyo mume na mkewe ni laana tupu. Sipati picha wanaangalianaje huko ndani kwao huku wakiujua ukatili na uchafu huo.
Lakini hajasema kama huyo mtoto ni chini ya miaka 18, au ni mtoto wa kiume....ili kushitaki na ushahidi wa daktari uhitajike kumweka huyo jamaa hatiani inabidi iwe mtoto anayeongelewa ni chini ya miaka 18 (kosa kisheria) au ni mtoto wa kiume (mapenzi ya jinsia moja ni kosa kisheria Tanzania)....
Mtoto wa miaka 3???
Kwakweli naboreka na uandishi wa aina hii, hizo shorts zinatumika zaidi kwa sms kwa sababu ya limit ya text. Huku kwenye computer nako tunayakuta pia.... aaaagrrhhh!!
Jamani hii kali ndugu zanguni,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia simu shoga yake na kumlalamikia kilio chake kua mumewe anamlawiti mtoto wake ambae kazaa na mume mwingine,ni mara nyingi anamlalamikia shoga yake,shoga yake akatoa tarifa polisi mume kakamatwa na mke amtoa mumewe kwa madai kua hakumtuma shoga yake ampeleke mumewe polisi kwani yeye na mumewe wametoka mbali na pia mume alimtolea figo mke akiwa mjamzito kwahiyo hawezi kumshtaki na ilotukio mara nyingi anamfanyia mtoto huyo,mtoto anamiaka mitatu wa kike,je mtoto angekua wako ungejisikiaje? na mwanamke tumueke katika kundi gani wana jamii?
Eeeeh wait! Unataka kutuambia kuwa:
Sitaki kuamini kuwa jamii sasa inashindwa kuwalinda malaika hawa kutoka kwa ushetani huu. Ni PM tafadhali.
- Huyo msamaria kaenda polisi na kusema tatizo ni nini.
- Polisi wakamkamata jamaa
- Mama wa mtoto akaja kukanusha na kumtoa **** wake
- Polisi hawa wanaokula sehemu ya mshahara wangu wakakubali kabisa habari ikaishia hapo?
Otherwise rudia kusikikiliza maelezo kwa huyo shosti.
Mada nzuri,ila mara nyingine jitaidi kuandika vizuri,epuka kufupisha maneno maana sio wote wenye uwezo wa kuelewa ulikuwa unamaana gani.
Tukirudi katika mada,Mtoto unaeishi nae ni mwanao,hata kama hana uhusiano nae biologically.
Jamani hii kali ndugu zanguni,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia simu shoga yake na kumlalamikia kilio chake kua mumewe anamlawiti mtoto wake ambae kazaa na mume mwingine,ni mara nyingi anamlalamikia shoga yake,shoga yake akatoa tarifa polisi mume kakamatwa na mke amtoa mumewe kwa madai kua hakumtuma shoga yake ampeleke mumewe polisi kwani yeye na mumewe wametoka mbali na pia mume alimtolea figo mke akiwa mjamzito kwahiyo hawezi kumshtaki na ilotukio mara nyingi anamfanyia mtoto huyo,mtoto anamiaka mitatu wa kike,je mtoto angekua wako ungejisikiaje? na mwanamke tumueke katika kundi gani wana jamii?
Ndio taabu ya kuandika kutumia phillips savvy neno refu halitoshi kwenye display linapotelea kushoto kufupisha ndio solution.