Anal sex and giving birth

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
376
Reaction score
691
Wakuu na wataalamu,
Je Mwanamke ambae amekuwa akishiriki anal sex na mpenzi wake, Je anaweza shindwa kujifungua?

Je anal sex inaweza msababisha akashindwa kusukuma mtoto?

Wataalam na wanawake mlioshiriki huo mchezo tusaidiane kabla hatujaharibu.

 
Toka mwaka 2003 bado unauliza swali hili hili, wajuzi wa mambo msaada unahitaji hapa.

Ila mkuu kwanini usituache tule Eid kwanza?
 

Yani kuna baadhi ya Dhambi ukifanya hata sheteni anakukimbia na anakukana kabisa kuwa hakutambui na hajawahi kukuona toka kuumbwa kwa huu ulimwengu.
Acha mara moja unachokifanya usijesema hukuambiwa.
 

Je anaweza shindwa kujifungua? Ataajifungua vizuri tu.

Je inaweza msababisha akashindwa kusukuma mtoto? Hawezi kushindwa kusukuma mtoto, Ila anaweza kukosa nguvu za kutosha za kusukuma vizuri mtoto, japo hilo kwa wazilishaji wanaweza kulisolve kiurahasi tu hilo jambo nasio Big Issue ( ILa kwa Tanzania nahasa kwa watumishi wa serekali wawezapata Matusi kutoka kwa wazilishaji ukajuta kuzaliwa) Hawa Manesi na Madokta wa hapa kwetu ni watu wa ajabu sana.

Nimejibu kwa uzoefu wa upeo wangu, si mshuhuda.
 
Kwanza ni uchafu, halafu wewe wasiwasi wako ni katika kujifungua tu na sio kumkosea Mungu na madhara mengine kiafya?..
 
Hiden...Baby leo nataka unipe Nyuma

Baby wake....mmhh hapana kwa kweli. Wee hujui kua mikipata mimba nitashindwa jifungua??

Au ,wee hujui na hii mimba nilinayo nitashindwa kujifungua. ,uliza mtu yoyote akuambie??


Hiden...wana JF mwanamke anayeliwa Tigo anaweza shindwa kujifungua.


Carlos .. UFUNUO 21:8 ..Bali waoga wasoamini, na wachukizao,na wauaji, na wazinzi, na wachawi nahao waabuduo sanamu na waongo wote, sehemu yao ni katika Ziwa liwakalo moto na kibiriti.
 

Wabongo kwa kasumba za kutishana ndio zao hamna lolote.
 
Uzi umekaa kimendemende na kibazazibazazi
Haya wakuna na wakunwaji wa mtandao pendwa almaarufu TIGO tiririkeni hapa
 
Tujiulize, kwa nini siku hizi kujifungua kwa operesheni ni kwingi zaidi kuliko kwa njia ya kawaida?
Tuanzie hapo.
 
Unadhani wanawake wazoefu wa kufanya hivyo watasema? Kwanza hum Jf hawamo
 
Ila mabonge ndo rahisi kuzamishiwa na kwenye uzaaji hakuna kitokeacho
 
Inasikitisha sana...

Anamuuliza mzungu kuhusu Anal s.ex... wazungu hakuna kilichokua na madhara kwao, sababu teknolojia yao inawaruhusu...

Huku Africa hayo mambo ni shida tupu kwenye maohospitali...


Cc: mahondaw
 
Hapa naona wameguswa wengi. Wapakua na wapakuliwa. Waungwana wanapiga kimyaaaa. Ukiona Uzi unapigwa kimyakimya ujue sindano zimewaingia na wanagumia maumivu kimyakimya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…