Fungo N.
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 252
- 43
Nimeajiliwa machi 2013 kama mwalimu (Education Oficer 2) katika halmashauri ya kahama,baada ya kujaza fomu za mkataba na taarifa zangu kwenda utumishi,niliambiwa jina langu lipo kwenye database na linalipwa mshahara,.Taarifa hiz zilinichanganya sana kwani sijawahi hata kufanya tempo mahali popote,sijawah kupoteza vyeti.Baada ya kufuatilia hadi utumishi makaomakuu,niliambiwa niandike barua kisha nisubili,lakin sikupata feedback yoyote,na hadi sasa bado.NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA NIFANYE NINI,