Analysis ya pair tutazotrade wiki ijayo

Zingine hizi hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20190427-183506_MetaTrader%204.jpeg
    50.3 KB · Views: 16
Mkuu hainaga haja hata ya kufanya analyz nyiingi alafu unachukua picha ya 4hrs tu big wrong, TOP DOWN Analysis mkuu ili kutambua bigger picture na kuepuka suprise zisizo za lazima.

Na wakati unaanlys in serious lazima u conside all news/ impact ktk iyo pair ya wiki nzima

Ehe mengine siri
 
Mkuu waweza nielimisha zaidi maana nakuona upo njema plz
 
Kwamba mengine ni siri ukizisema analysis zako zitageuza direction au!!
 
siri ya nini mkuu kuwa wazi tu unaficha nn ambacho utapotezas ww binfsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…