Anamkonyeza..

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Haya wakuu.. kutoka mmoja wetu humu humu:

Toba yarabi.. naenda kulala kwanza!
 
DUnia kwishnehi, muepuke kabisa, wana mbinu za kijasusi za kuwanasa wanaowataka, na akikutia kwny himaya yake hautoki hata kwa dawa, na hautotaka mahusiano na wanaume tena!
 
muahahahaha! hebu acha nicheke mie!

sidhani kwa umri ulionao unaweza kulazimishwa mapenzi. Hata akiona umemkubalia wakati kumbe wewe huna dili nae poa tu.
kama unajiskia kwenda gym nenda, kama hujiskii usiende lakini sio kwa kumuogopa yeye
 
mwambie akimbie, aachane na huyo baazazi wa Kike, lakini ninini hii ?
 
Kwani kuna ubaya gani mwanamke kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwenzie? Hakuna jipya hapo.

Huyo dada hakuwa hata na sababu ya kuleta hiyo issue kwa mwanakijiji kwani jibu lake ni yes or no. Kwa kuanza kuomba ushauri inaonekana hana msimamo wa anachokitaka au hajuo anachokitaka; na kwamba akishauriwa awe karibu na huyo anayemkonyeza, basi atakuwa naye.
 
vinakuja kwa kasi sana vidada vya aina hii siku hizi sijui vimegundua nini
 
Duh kaazi kwelikweli...
kama unauhakika na information uliyopewa kuhusu huyo dada..mkimbie bila hata kumficha! I believe hapo ulipo kuna gym nyingi so hata kama unjisikia kwenda gym nenda tu gym tofauti.
 
mwanakijiji nipe no ya huyo dada mkonyezaji au mwambie aje kwangu,tutamalizana in apeacefull mana,it will be a gals tok,count on me.ASAP
 
mwanakijiji nipe no ya huyo dada mkonyezaji au mwambie aje kwangu,tutamalizana in apeacefull mana,it will be a gals tok,count on me.ASAP

πŸ˜•πŸ™„πŸ˜•...
 
mwanakijiji nipe no ya huyo dada mkonyezaji au mwambie aje kwangu,tutamalizana in apeacefull mana,it will be a gals tok,count on me.ASAP

We Pearl wewe unatafuta balaa sasa, inavyoonekana huyo anaweza hata akakubaka.
 
pearl umewafanya watu kukutilia shaka na wewe unacheza gemu na timu ya nyumbani! muahahaha watu JF hasas wana visa πŸ˜€
 
... I dont see what the big issue here, she should be open with her... tell her I prefer guys... I dont do girls...but I really like you if we can just stay friends...
 
y mmh?belive me will wel be both safe,u wanna be zea?she cnt confess wat I wanna tok to ha

Wadada wasagaji wana confidence sana! So don't be so sure with what you expect to hear from her!
 
kunibaka!cmon dude am a big gal,no nid of abody gad,its just a mata of councelling,cnt u pple get it?
We Pearl wewe unatafuta balaa sasa, inavyoonekana huyo anaweza hata akakubaka.
 
cn neva pay zoz dirt games swty,nilishafatwa n mtu dizain hiyo wen niko chuo
pearl umewafanya watu kukutilia shaka na wewe unacheza gemu na timu ya nyumbani! muahahaha watu JF hasas wana visa πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…