Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

Kama kuna namna ya kumsaidia huyu dada sio kwa ushauri. Angekuwa kule kijijini kwetu wanakooa 'suria', tungejipanga tukambeba tukapeleka kwa huyo bwana mpya. Akishughuliwa hadi asubuhi anakuwa mpole...
 
 
Kama kuna namna ya kumsaidia huyu dada sio kwa ushauri. Angekuwa kule kijijini kwetu wanakooa 'suria', tungejipanga tukambeba tukapeleka kwa huyo bwana mpya. Akishughuliwa hadi asubuhi anakuwa mpole...

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kali sasa
 
Ni kwa sababu nawahurumia sana binadamu wanaokosa self realization and awareness.......yaani hawajijui wao ni kina nani, wanahitaji nini na wanapaswa kufanya nini!! Hawajui kuwa wanadeserve happiness katika maisha yao! Dah!
aminata huwezi kuisahau JF katika maisha yako
 
 
ina mana akiamua kukaa na huyo mtu
hadi anakufa wao ni zambi wanapata hata kama wakitubu na kumrudia muumba wao

watubu kwa staili gani??? kumbuka yule atakaeachwa daima atakuwa ananung'unika sana
 
 
 
 
Hayo sio mapenzi bali ni utumwa....
Kama anataka kuendelea kunyanyaswa....kupoteza kiungo/viungo au hata maisha huko mbeleni aendelee tu na huyo mume wa mtu. Mpaka atakapoamua hataki tena kuwa mtumwa ndipo atakapojua nini haswa afanye!! Mtakie kila la kheri.
 
na mwishowe apate na maradhi hata ya nguvu za giza.mume wa mtu sumu mwanawane.
 

na mwishowe apate na maradhi hata ya nguvu za giza.mume wa mtu sumu mwanawane.

hilo yeye kavaa miwani ya mbao

hahahahaaa umenifurahisha sana dear.......! Nadhani hicho ndicho anachokisubiria!!

mwache aendelee na huyo mume wa mtu, atakaponyofolewa jicho atajua kumwacha

yeye si anaona kapata
aminata lepo umekomaje ...
 

ndugu yangu hayatakaa yaishe.Mna ushaidi kwamba anamwacha mahakamani?Huyo jamaa ni muongo wala hana mpango wa kumpa talaka mkewe na yawezekana mkewe hata kibaoi hampigi,huyo rafikiyo nddio punch bag.Kuna mdada mmoja nnamjua(ningetaja kazi yake lakini akiona hii thread atajijua tu na ntamponza asiyehusika)huu mwaka wa nane anasubiria mke apewe talaka ananunuliwa magari na kujengewa nyumba na huyo mme wa mtu lakini kipigo ni mpaka anapelekwa hospital,mkewe hathubutu kumpiga hata kofi. wala kumpa hiyo talaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…