Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

Mwambie huyo shorti asome signature yako, kwa kumsaidia inasema hivi:

ndimu changa haina maji babuuu we!....................kaoooooooooge))))))))))
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=2580217
 
Mwambie huyo shorti asome signature yako, kwa kumsaidia inasema hivi:

ndimu changa haina maji babuuu we!....................kaoooooooooge))))))))))
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we ni noma ................text sent
 
duh huyu shostito naye ana moyo wa chuma au sijui ndo kufa na kuozea kwa mtu au! mi maisha haya niwe na limtu eti linanipiga hata kofi moja nasepa zangu jumla singoji kuuliza! ya nini kufupisha maisha zaidi na wakati tayari Magamba wanayafupisha? mwambie aamue moja ampe huyo mpya nafasi incase karidhika naye, But chonde chonde nako asiingie kichwa kichwa asijikutendwa bureeeeeeeeeeeeee
 
AMINATA.kuna kila dalili unampenda huyo bwana na rafiki yako awe makini la sivyo utamchukulia mume.. inanyesha unayajua mambo yao mengi.unajua mpaka bwana huyo alitaka mavituuuz siku ya ngapi toka bibie alipojifungua.nnahisi utakuwa unajua mpaka style huyo bwana anayopendelea.Tungeweza kukushauri sana lakini hatujafahamu kama huyu bibie alikutuma au umeamua kujituma mwenyewe.kama umeamua kujituma basi wewe ni mbeya.huna la kufanya umebaki kufuatilia maisha ya watu kwani wakidundana inakuhusu? Acha umbea.unajifanya mwema kumbe unalako jambo.unamtaka mume wa rafiki yako.
 
ac
ha kubwabwaja ..kwani rafiki yako wa karibu hawez i kukupa stori kama hizi za maisha yake ya ndani? kama hutaki kumsaidia dada wa watu bora ungepiga kimya tu
 
...................point taken
 
wer koma na ukomae kabisaaaaaaaaaaaaaaa loh! kama ww huna rafiki anaye kuamini na kukueleza ivo ni kivako huko .................inahuuuuuuuuuuuuu na sio kila sehemu mpaka uchangie waachie wenye busara zao wachangi ok..................next time try to behave
 
umenikerajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee we nusu mtu kweli cjui unatumia ubongo gani kufikiria mana sina uhakika ka ni wako labda wa jirani yako mbaya zaidi naye kalala fofofooooooooooooooooo
 
umenikerajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee we nusu mtu kweli cjui unatumia ubongo gani kufikiria mana sina uhakika ka ni wako labda wa jirani yako mbaya zaidi naye kalala fofofooooooooooooooooo

hana ubongo kichwa kina mbegu za matikiti maji
 
nazipeleka kwa muhusika loh!
una uhakika mhusika tazifanyia kazi?
kwanza ngoja nikuulize swali....ni nini msimamo wako au unamshauri nini huyu rafiki yako ? be open na eleza msimamo wako ..na ingekuwa ni wewe ungefanyaje ...ungetokaje kwenye huu mkasa?
 
mm namshauri aachane na huyu mume wamtu mana kuzaa sio ishu mana wapo kibao wamezaa na maisha yanasonga sana na kwakua kasoma kumlea mwanae haitakaua tabu sana ....................kuhusu brand new asimpe nafasi kwanza amuache amchunguze huku akisali kwa bidiii kutubu zambi ya kutembea na mume wangu kwanza then na kuomba mungu amuonmgoze kumake chaguo nzur sasa...............
 
kwingine kote umeeleza vizuri ila hapo kwenye red umekata nyaya za gitaa
 
kwingine kote umeeleza vizuri ila hapo kwenye red umekata nyaya za gitaa
yanini kunikalia kooni mwana wa mwenzio namna hii ..................mwenye machoo haambiwi tazama ndio ivo asimpe nafasi hadi amujue vizuri loh! asije ruka mkojo na kukanyaga mharo bora hata angekanyaga kinyesi kigumu bali mharo loh!
 
lol!! basi ngoja nikuache ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…