hahaha.... haiwezakane wakarudia man.. bora waendelee kuwa marafiki tu... hakuna kitu kibaya kama mume / mke wa mtu! hata kama ameoa/ameolewa na mzungu!...
Umemshauri vema, si vizuri sasa wakayafanya hayo kwa kisingizio cha mapungufu ya wenzi wao wa ndoa .Na heshima itakuwepo wakiendelea kuwa marafiki wa kawaida.
Bado sijaona kitu hapa!!!!
Mmh, we Lizzy wewee, haya bana, n'waYz I luv u th way you are :msela: