Nadidi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2013 Posts 334 Reaction score 104 Apr 21, 2013 #41 Bulldog said: Tena usingeangalia nyuma. Toa kipigo kwenda mbele. Hiko kidemu kilikua na kosa ndo mana jamaa alimshushia kipigo. Na mngejidai kuingilia tu angewasuspect kuwa nyie ndo mmemuibia. Click to expand... Haujajua nawe siku gani utashushiwa kipigo!
Bulldog said: Tena usingeangalia nyuma. Toa kipigo kwenda mbele. Hiko kidemu kilikua na kosa ndo mana jamaa alimshushia kipigo. Na mngejidai kuingilia tu angewasuspect kuwa nyie ndo mmemuibia. Click to expand... Haujajua nawe siku gani utashushiwa kipigo!
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Apr 21, 2013 #42 Nadidi said: Mola aliyetuumba, hutusamehe makosa yetu!! Nasi tusamehane kwa yale tunayokoseana kama yashindikana basi kila mtu akae kivyake Click to expand... Wakati mwingine kipondo muhimu,msamaha utafuata baadae!
Nadidi said: Mola aliyetuumba, hutusamehe makosa yetu!! Nasi tusamehane kwa yale tunayokoseana kama yashindikana basi kila mtu akae kivyake Click to expand... Wakati mwingine kipondo muhimu,msamaha utafuata baadae!
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,250 Reaction score 90,741 Apr 21, 2013 #43 Nadidi said: Wewe mwenyewe waboa!! Click to expand... asante....uzuri wapo wanao nifagilia