Anani kitenge?

Anani kitenge?

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,256
Reaction score
16,317
NAJIULIZA Tu Huyu Mtangazaji AliyeKuwa Machachari,huko Nyuma Wakti Huo Nilikuwa Namsikia Redioni Tu Jezi Namba 9 Mgongoni,mbona Sikuhizi Dhoofu Sana Hachangamki, Huko Nyuma Hukuwa Hivyo! Ni Nini Mbaya Na Wewe? Pole
 
eti ana wake wengi ndo mana? mbona yule wa taarab bado machachar? vipi maulid?!
 
kaamua tu kubadilisha mfumo wa maisha....jioni daily mchangani coco beach anapiga tizi kupunguza kitambi
 
Hahahahaaaa.... Watu umko observant..
 
Back
Top Bottom