Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
we imewahi kukutokea issue kama hii?🙂🙂 inavyoonyesha hata wewe unatamani kukumbushia bujibuji ..
wewe huna hamu naye?
akili unanichekesha sana leo!mpe hi mrembo wetu!pearl sayz:
ah ah ah uncle buji mwambie golden chance neva come twice alichezea bahati huyo mwambie hana lake tena amelamba dumeee
pearl sayz:
Ah ah ah uncle buji mwambie golden chance neva come twice alichezea bahati huyo mwambie hana lake tena amelamba dumeee
achana nae,anahiataji kukuharibiakuna msichana nilikuw ana mahusiano naye kwa kipindi cha kama mwaka mmoja.
Kutokana na kushindwana tabia tukaachana mwezi wa kwanza. Sasa amepata habari kuwa nina mwanamke mwingine amekuwa akinipigia simu mara kwa mara kuwa ana hamu na mie, eti niende kwake nikamkamilishie harara zinanzomsumbua.
Kama si kunitega na kutaka kuniharibia penzi langu ni nini anachokitaka kwangu?
wewe huna hamu naye?
Kuna msichana nilikuw ana mahusiano naye kwa kipindi cha kama mwaka mmoja.
Kutokana na kushindwana tabia tukaachana mwezi wa kwanza. Sasa amepata habari kuwa nina mwanamke mwingine amekuwa akinipigia simu mara kwa mara kuwa ana hamu na mie, eti niende kwake nikamkamilishie harara zinanzomsumbua.
KAMA SI KUNITEGA NA KUTAKA KUNIHARIBIA PENZI LANGU NI NINI ANACHOKITAKA KWANGU?
nimeshakula kiapo cha kumkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yote, na raha zake zote na milki zake zote.
Nimejitoa kikamilifu kuwa mwaminifu kwa msichana wangu.