Ananiambia ana hamu na mimi


Ni Fyala Fyala nini? Kwani wewe huna hamu naye???
 

He he heee,

Mkuu weka hatari zote unazoona pembeni,wewe unajiskiaje juu yake?

Mkuu usikubali kuingia kwenye mtego coz utakuwa umemsaliti mpenzi wako wa sasa.mbona siku zote halujitokeza?Na kuachana kutokana na tabia hazikuridhisha,vipi sasa hivi zimerekebishika?
 


Inaonekana mliachana kwa kuagana! Hii ndio tatizo, ulipaswa kunyea kambi hiyo, ungekuwa salama kabisa. Unaweza kwenda, kumbe unaenda kufumaniwa, au kuweka mimba, nk.... Kama unaweza kanyee hiyo kambi haraka sana, ili mwenzio apate amani.
 
acha kuvunga wewe nenda kampe dawa yaishe! atatulia tu naona zimempanda!
 

Inaelekea mzee demu mlizoeana sana, na ndiyo maana ana uwezo wa kukuomba tena. Na pengine jamaa ulizoea huo mchezo wa kumkamilishia harara zake hata unapokuwa na uhusiano na mwingine, haka ni kamchezo kenu....na wewe bado unamtamani, kwa nini unapokea simu zake, cut off communications.
 
nimeshakula kiapo cha kumkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yote, na raha zake zote na milki zake zote.
Nimejitoa kikamilifu kuwa mwaminifu kwa msichana wangu.

Kama uliyenaye si mkeo na mnakulana ndiyo maana yule anakumbushia anajua bado uko mzinzi.....Kama kuna ukweli basi Bujibuji ushindwe na ulegee katika jina la yesu
 
Kama ulisha mwacha kwa nn sasa unamendea si uachana nae?
Na kama yeye anakutamani si umwambie kuwa ameichezea nafasi sasa yupo mwenyewe.
 
alikataa bahati yake amejua una mtu anataka kukuharibia, uwe macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…