Ananichukia kisa kuniona na mwanamke mwingine

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu mwakeyeee, wengine sibhota, mwagumaaa?

Kuna dada mama ntilie nilikuwa nakula chakula kwake na nilikuwa nampelekea wateja sana ambao walihtaji chakula wakiwa ofisini kwangu basi nilihakiksha wanakula pale. Niliamua penzi akanichomolea akidai yeye mambo hayo hapana wakati huo ni single mama na baba wa mtoto alilala mbele.

Aliponichomolea nikamwambia poa mi taendelea kula kwako tuwe kama dada na kaka tu hilo lingne nimefuta. Sasa ajabu akawa na wivu sana na mimi hata hapo kazini kwake akawa hataki dada yeyote aongee na, mimi yuko tayari atoke huko atokako kwaajili yangu tu lengo likiwa nisiongee au kuhudumiwa na dada mwingine pale ofisini kwake.

Sasa siku moja nlikutana naye njiani nikiwa na shemeji yangu mdogo wa mwanamke ninayeishi naye ajabu nilimsalimia hakuitkia, tokea hapo akawa ananipita tu popote tunapokutana na mimi nikawa siachi kumpa hi bila kujali anaitikia au laah.

Last week niliamua kumfungia kazi rasmi, nimeacha enda kula pale kwake na nikikutana naye nampita kama simjui.

Je wakuu huyu dada ananitafuta nini au nakosea wapi?
 
Hivi uwa ni lazima mlete nyuzi? Hata km hazieleweki?
Watoto hawa hili jambo la kuamua tu mwenyewe unakuja kutuuliza ushauri.
Ushauri gani huku mwenyewe kasema kaamua afanye yake.
Pumbavu sana
 
sasa na wew kijana,
Mumama wa nini sasa si utafute kijana mwenzio 🐒

au unatafuta kamserereko hutaki kitonga 🐒
 
Wewe ndio huyo jamaa? Mbona unakaa kama mtu asiyekuwa na akili? wewe na mpumbavu tofauti yenu ni ipi my dear?
Ungekuwa na akili ungejibu hoja yangu kwanini unaleta nyuzi hazieleweki. Kuliko kujidefend na vitu visivyojulikana 🚮🚮
lete znazoeleweka mnuka k wewe. Ndo maana jamaa mmoja alileta thread humu akikusema unanuka k. Katibu fangasi hzo.
 
Wanawake kuoneana wivu ni kawaida wanasema. Ungekuwa mwanaume usingepata muda huu wa kuja kuomba ushauri huku ungefanya maamuzi ya kiume. Sema wanawake mnajuana wenyewe.
 
Wewe na huyo mama ntilie wako wote ni kama pwagu na pwaguzi.

Kama shida yako ni harufu ya moshi mwambie demu wako aanze kupikia kuni chumbani.
 
We mama ntilie, unijazie
We mama ntilie, unipatie

[Verse 1: A.T.,Gelly Wa Rhymes,Ray-C]
We mama nipe kidogo
Ile nijikune kisogo
Leo mimi nimekuja na kigogo
Nikae ila usilete zogo
Mama unitilie, unijazie
Na kama nitamwaga, sitozoa mie
Nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
Mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
Basi wacha papara, nikikupa utalala
Hapa ni pa biashara, na utakuja nikera


View: https://youtu.be/-lmjjanfjJU?feature=shared
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…