Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jimbo gani?Mkurugenzi wa TAMWA Bi Ananilea Nkya, leo katika Jambo tanzania amfagilia Regia kuwa ni mdada wa maono, anatoa upinzani mkubwa huko jimboni.
Jimbo gani?
Mkurugenzi wa TAMWA Bi Ananilea Nkya, leo katika Jambo tanzania amfagilia Regia kuwa ni mdada wa maono, anatoa upinzani mkubwa huko jimboni.
Yule dada ameiva kwa kweli, ni mtu makini na anazungumza mambo yenye akili
Tatizo kilombero hakuna mtandao wala JF...Ametulia kwa kweli! wanakilombero msifanye kosa kuto kumpa kura huyu dada. Mi namfagilia sana, ananikosha mpaka basi.