Pre GE2025 Ananilea Nkya: Kipindi cha nyuma kuelekea uchaguzi mkuu tulishuhudia mauaji ya Albino, mwaka huu tayari ukatili huo umeanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ananilea Nkya kupitia mtandao wa X amesema kuwa miaka ya nyuma tulishuhudia mauaji ya albino kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.

ALBINO: MSIMU wa uchaguzi umekaribia, miaka ya nyuma nyakati kama hizi tulishuhudia mauaji ya KIKATILI ya watu wenye UALBINO kwa sababu za kishirikina. Mwaka huu tayari ukatili huo umeshaanza. Je kama Taifa tufanyeje kuwahakikishia ndugu zetu hawa ulinzi?


Pia soma:
 
Ina sikitisha sana, ndugu zetu Wahaya wa Kamachumu na nyie kumbe mna imani za namna hiyo. Kwamba utoe uhai wa mtoto Albino asiye na hatia ili ufanikiwe.
 
na hii hutokea wakati wa utawala wa waislamu wa tanzagiza tu, awamu ya 4 mpaka UN waliingilia kati mauaji ya albino kuna nchi hata zilitoa hifadhi kuwahamisha watoto albino, awamu ya 5 mauaji yaliisha ghafla kama mtu alizima switch ya umeme na sasa inayoitwa awamu ya 6 mauaji yameanza tena, wakati wa Mkapa sikuwahi kusikia mauaji ya albino hivyo naweza kuhitimisha kwamba kuna uhusiano na waislamu wa tanzagiza btw. kagera waislamu ni wengi ( sana tu) …

 
Kanda ya ziwa ndio yanashimiri , sehemu za waislamu hakuna huo ujinga hata wauaji wakikamatwa ni watu wa mikao kama Mbeya , Arusha ,Mara
 
Kanda ya ziwa ndio yanashimiri , sehemu za waislamu hakuna huo ujinga hata wauaji wakikamatwa ni watu wa mikao kama Mbeya , Arusha ,Mara

lkn kwa nini mauaji hutokea tu kwenye utawala wa wanaojiita waislamu wa tanzagiza?
 
Kama kuuwa albino ni mambo ya uchaguzi, basi mhusika analazimisha uongozi, hana hata chembe moja ya uongozi. Ni hawa professor Lumumba alisema "In Africa we elect the fools to the office " that is why Africa is still poor.
 
Mgufuli alikuwa muislamu? Mkapa alikuwa muislamu ? kule kibiti alikuwa muislamu?

kipindi cha Magufuli hakuna mtoto albino aliyeuliwa, na hata Mkapa.

watoto waliuliwa awamu ya 4 na sasa hivi, Magufuli alikomesha mauaji ya watoto uliotamalaki awamu ya 4 ndani ya miezi michache tu.

kwa miaka 5 2015-2021 hatukusikia mtoto kuuliwa popote, sasa mauaji yameanza tena, kwa nini unafikiri? nani yuko nyuma yake? na kwa nini serikali haulindi watoto wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…