nadhani ni form one huyu? Anaona sex ndo issue kwenye mapenzihata sijui tuwashauri nini hapo...
Labda tuanze kuwashauri definition ya sex kwanza....lol
nadhani ni form one huyu? Anaona sex ndo issue kwenye mapenzi
kweli eti ukitaka tunda kasalimie kwanza wazazi wake loh makubwa hayawaacheni watotot wafanye practical kabla hawajafika topik ya production
habari wana jf ,jamani kuna issue imemtokea my friend ila kaniomba ushauri afanyaje nikaamua kuleta jamvini kabla cjampa ushauri.Ni hivi huyo rafiki yangu ana BF ambae walianza uhusiano ka miezi mitatu iliyopita lengo la mwanaume wasisex mpk aje kujitambulisha nyumbani lakini mwanzoni kaka alikubali ila kadri cku zinavyoenda kaka anamlazimisha wafanye deepkic then amu suck, kila wakikutana kaka anamkic ,na kumlazimisha amsuck...... ila dada akakataa coz anaenda kinyume na makubaliano.ss ii juzi anamlazimisha wa sex ndo alikua anaomba ushauri afanyaje?
kweli eti ukitaka tunda kasalimie kwanza wazazi wake loh makubwa haya
amenishangaza sana huyu dogosmile umenifurahisha sana, yap tunakutana kimjini mjini tunaachana kimjinimjini, mambo ya kupelekana home hadi tuone kama tuna match, mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia nani anataka, yameshapitwa na wakati, kizaz cha dot com imagine tumekutana savanah au bistro u save my no kwenye brackberry while i save urz kwenye i phone he he he yaani full kisasa, next date fun city au paradise by then tukifika salaam tunaanza na romance kabla hata ya kutongazana, huyu dogo wa wap? Haya ndo madhala ya kutozaliwa mjini he he he am jokin wadau,