Ananilizimisha ni sex nae


hii habari haijatulia... kutosex mpaka watambulishane nyumbani lilikuwa lengo la huyo kaka then unasema mwanzoni kaka alikubali - sasa alikubali vipi wakati ndo lilikuwa lengo lake tangu mwanzoni?

halafu unasema kila wakikutana kaka anamkiss na kulazimisha am-suck, yeye anakataa - so alikataa deepkiss, kunyonya au vyote?

on a sad note, iko wapi maturity ya watu siku hizi hasa kwa dada kama huyu ambaye amekua kiasi cha kufikiria kwenda kufanya utambulisho wa BF wake nyumbani? am afraid tunaomba ushauri hata kwa vitu trivial sana ambavyo vinapaswa kufanyiwa maamuzi na mhusika mwenyewe
 
Ukiona amefikia hatua ya kuomba ushauri ujue "staki-nataka". We mwambie alegeze tu maana siku hizi sio ishu sana.
 
huyo rafiki yako/wewe ana mapenzi ya kikuda. wewe mpenzi wangu halafu hamna sex utakuwa na maana gani kwangu? hayo mapenzi ya kitoto. huko kitaa unaenda kusex na wengine halafu ukikutana na mimi unasema mapenzi bila sex, ya kazi gani? kama ni mimi wala sitakulazimisha, nakuacha kama ulivyo. kwani wanawake wamekosa hadi nitese moyo wangu kiasi hicho? msichana anajifanya mugumu, ukipata unajisifia umepata kumbe ndo unajihukumu. Mpe mshikaji huo mzigo au hujabikriwa?. au mruhusu awe na demu mwingine. Mia
 
only above 18 yrs old allowed to rid ths comment! Hahaha sodoma na gomora karibu tena duniani
 

toa jibu hapo, kama huyo dada atoe mashine au laaah!
 
Dah!kaaaz kweli kweli,cna la kusema labda ungetuambia km huyo bidada ni bikira au vp!na niya ukweli au magumashi anataka kumwibia jamaa!

hawa ndo wale wanaotumia sex kama fimbo ya kuolewa.(kama unataka nioe) akiona haijafanya kazi atampa halafu atabeba mimba makusudi ili mradi aolewe tu.hivi kipi kizuri, mapenzi yafe kabla ya kutambulishana au yafe baada ya kutambulishana?. watu kama hawa mwisho wao huwa mbaya sana. Mia
 
Mwambie amuoe ndo ampe.kama hataka mbona wengi tu wasichana,akatafute,atapewa bila tatizo.asikilize moyo wake.
 


uprofesa wa ngono????????
 

Naomba kuuliza huyo rafiki yako ni bikira au ameamua kumnyima huyu???
 

mosi
: Mshauri rafiki yako kuwa lazima aliwe asa kama keshaanza kula vya uyo jamaa, (ukila lzm uliwe)
pili: kwani sidhani kama ni vema pia kama jamaa yuko tayari kuuziwa mbuzi ndani ya gunia
tatu: Uyo dada ajiandae kwa jinsi anavyoendelea kumyima basi uyo kamanda atatafuta kwingine awe anatafuna uku akimsubilia uyo dada atakapokuwa tayari na uko akinogewa basi ajiandae kumwagwa
mwisho: Nyie wadada mnachakachuliwa sana na misela mtaani, asije kuwa kamanda anasubilishwa kujitambulisha wakati ako kadada hakana hamu/ mwemko au nye***..e kwani uko katokapo mtaani kanachakachuliwa daily
kumbuka love without condition is impossible but love with condtion does not even exist.
 

Namba tatu:usitilie mkazo sana loreen,kumwagwa kisa ngono ni kitu cha ajabu,na wafanyao hivyo ni wale wapenda ngono na si kumpenda mtu..Bora akuache kuliko kufanya jambo usilotaka.Ndiyo maana wanawake wakaumbwa wengi,pindi pale mmoja anapogoma,nenda kwingine.ila siwashauri hivyo.
 
naomba kuuliza huyo rafiki yako ni bikira au ameamua kumnyima huyu???

wewe ono uko dunia gani?????? Siku izi darasa la tatu ndo muda bikira zinatolewa, ungeuliza yuko darasa la ngapi au ana miaka mingapi?? Apo ndo ungejudge
 
kweli eti ukitaka tunda kasalimie kwanza wazazi wake loh makubwa haya

siku hizi matapeli wa mapenzi wameadvance zaidi... jamaa anamvalisha mtu pete ya uchumba, anamega halafu anasepa... kazi ipo kwa wanaotaka kuolewa
 

Profesa nipe shule, napendelea praktiko zaidi.
 
She might be a virgin beatifully mary,let her fulfill her promise to her future husband.Hataki wapita njia waenjoy pia,maada wadanganyifu kibao siku hizi..mh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…