KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
she might be a virgin beatifully mary,let her fulfill her promise to her future husband.hataki wapita njia waenjoy pia,maada wadanganyifu kibao siku hizi..mh!
uko karne gani kamanda mkuu?? Mbona hii ni kawaida, wadanganyifu kibao sku izi mtaani
Daah yaani mtu akishakuja home mnaona ndo ruksa kufanya nae mapenzi? Kwani mtu kuja home ndo guarantee ya nini?
Mapenzi sio kutambulishana tu,
yaani hata siwaelewi kwa kweli,utakuja kuachwa vibaya wewe ohooo,hv suppose mwanaume amekuja kwenu kujitambulisha then ukampa tunda akasepa huoni utakuwa na wakati mgumu sana huko hme? Si nuksi unajitafutia.mapenzi yanajengwa na watu wawili wala hayana condition,mimi na uprofesa wangu kwenye fani sijawai kumpeleka mwanaume yeyote home
tunakutana kimjinimjini tunaachana kimjinimjini
upuuzi mtupuuuuuuuuu
Kuepuka kulazimishwa sex, wawe wanakutana Open Space kukutana ghetto ndio kunakopelekea yote hayo!
wee hutaki?
Ukikubali kuolewa uwe tayari kulala bila chupi. Kama amekubali awe 'MPENZI' wake obviously hawawezi kukutana 'OPEN SPACE'! Sex is overrated though
mwacheni aitunze ije ipotee kama mkia wa binadamu.
Hivi kumbe huwa inapotea eeh!!!!mwacheni aitunze ije ipotee kama mkia wa binadamu.
hawa ndo wale wanaotumia sex kama fimbo ya kuolewa.(kama unataka nioe) akiona haijafanya kazi atampa halafu atabeba mimba makusudi ili mradi aolewe tu.hivi kipi kizuri, mapenzi yafe kabla ya kutambulishana au yafe baada ya kutambulishana?. watu kama hawa mwisho wao huwa mbaya sana. Mia