Ananipenda au ?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Ndg wana JF, kuna binti 1 2mefahamiana kitambo kama miaka 3 iliyopita, tulishapeana namba za cm na niliwahi kumtaka kimapenzi akakubali japo sikuwahi ku-do naye.
Jana nikampigia cm akapokea, nikampa appointment - akakubali kuja, tukatumia kama kawaida, ikafika muda nikamwambia nichukue room tuka-do, akakubali, nikampatia ela ili atangulie.
Alipoondoka cm yake ikawa haipatikani, nikajua nimetapeliwa,
Baada ya muda akanipigia yeye - akiwa analia, nikamuuliza nini kimemsibu akanambia atanieleza kesho (leo)
Leo nikampigia cm, akanambia anipenda sana ndo maana hakukubali kuwa nami kwa kuwa ana VVU,

ANANIPENDA AU MWONGO? HAPA NILIPO AMENIPIGIA ANATAKA KUONGEA NAMI KWA MAPANA ZAIDI, NIENDE NISIENDE?
 
Kwani kupenda au kupendwa lazima mfanye sex.
 
Andamana nae mkapime akiwa anao ndo uamini siyo tapeli ila akikataa kwenda kupima ama akienda akikuta yupo safe ujue tapeli
 
Sa alitangulia wapi na hela angali alifahamu kua asingeenda kuchukua rm.Kipindi chote hicho mlikua mkiwasiliana au ni jana ulipohitaji kudo ndo ukamtafuta?

Na wewe unapaswa kua makini. mapenzi gani hayo?Haya nenda kamsikilize akugonge bomu lingine
 
Kama hukutumia zana anakuja kukugea dawa zake za kupunguza makali.
 
Alishindwa nini kukwambia live?? Kwa nini aondoke na hela na kuzima simu??
Naona kama kakuzidi ujanja kiaina!
 
May b she meant ana vina vikali usipime..take ha 2 studio
 
kwani ulimwambia ungepiga kavu? wewe jilipue tu huku umejaladia layer 3 or more za rubber...
 
Sa alitangulia wapi na hela angali alifahamu kua asingeenda kuchukua rm.Kipindi chote hicho mlikua mkiwasiliana au ni jana ulipohitaji kudo ndo ukamtafuta?

Na wewe unapaswa kua makini. mapenzi gani hayo?Haya nenda kamsikilize akugonge bomu lingine
shughuli zangu ndo zilikuwa zikinifanya nishindwe ku-mit naye.

tulikuwa na mawasiliano,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…