Ananipenda lakini ananinyima unyumba

Kama kweli nawe unampenda, chukua hatua. Nenda kwa wazazi wake katoe posa.

Acha zinaa
 
Unajifariji tuu... huyo hakupendi ht chembe. angekuwa anakupnda angekupa. Pia yawezekana huna mvuto una sura mbaya km ya Wasira,a au Mizengo Pind
Hahaaaaa.....mwanaume hasıfıwı sura lakını
 
Kama anakunyima unyumba we mjengee nyumba
 
watu wanaomba u house wanatoswaaa!!!

kama vip kamwambie magufuli linaweza likawa jipu ilo!
 
msemee kwa rais magufuli atumbuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…