nasri athumani
Member
- Jul 13, 2011
- 64
- 8
Mwambie mzuka umeisha juu yakeNinampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time anilushia vocha kuanzia ya buku10,nahuwa nikifanya nae sexy hwa si enjoy kama nipo nam2 nimpendae.je nianzaje kumwambia na hali nilimsistiza kuwa nampenda mno wakati namtoke?
Ninampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time anilushia vocha kuanzia ya buku10,nahuwa nikifanya nae sexy hwa si enjoy kama nipo nam2 nimpendae.je nianzaje kumwambia na hali nilimsistiza kuwa nampenda mno wakati namtoke?
Hakuna pole kwenye kuachwa ndg yangu.Ulifanya makosa kumwambia kuwa unampenda mno, wakati ukweli ni kwamba hayupo kabisa kichwani mwako! Swali la kizushi: Kama lengo lako ilikuwa ni kupita tu, kwa nini hukumwambia kuwa unataka mahusianoya muda? Kama hukuwa unampenda, kwa nini hukufikiria kutafuta binti ambaye unahisi unampenda japo kidogo tu ili hata ikitokea akapata mimba usijilaumu? Anyway, hayo tuyaache.
Unachotakiwa kufanya kwa sasa, tafuta lugha laini ya kumweleza ukweli na atakuelewa. Mwambie kuwa nawe unatamani ku-feel kama yeye juu yako, lakini umeshindwa licha ya kujaribu kwa juhudi zako zote. Mpe pole na umwambie kuwa haitawezekana kuwa naye kwa kuwa utakuwa unampotezea muda bure. Hope that'll work!
We mchunie tu, atachoka mwenyewe
Ninampenzi wangu ambae tunakalibia miaka 2 ya mahusiano yetu,wakati ninamtongoza nilikua nataka awe dem wa kupiga na kusepa,lakin cha ajabu kaning'ang'ania mpaka huwa anitoa pesa some time anilushia vocha kuanzia ya buku10,nahuwa nikifanya nae sexy hwa si enjoy kama nipo nam2 nimpendae.je nianzaje kumwambia na hali nilimsistiza kuwa nampenda mno wakati namtoke?
habari zako unachanganya
kama ungekuwa huna mpango nae wala isingechukua muda
bado unashirikiana nae sex bado unapokea mpaka vocha na kusaidiana wewe na yeye na bado unakubalia mkutane mfanye sex na hapo unasema humpendi
Huo mzuka wa sex unatoka wapi wakati mtu hata moyoni mwako hayupo
Kuwa wazi na yeye na mwelezee wazi usifanye mambo ambayo bado yanaonyesha kuwa bado mna mipango ya pamoja
NI mzushi eti?
sio love ni lyf haiko fairWenzio 2natafuta hzo bahat,wew unazichezea mkuu?dah!kweli love co fair game kabisa.