HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Hahahaha, huu msemo sijawahi uskia, ngoja niuweke signature kabisa!
Ndokyo, Mlali hakuna cha bongo fleva wala nini! tumekaa rural zaidi, nyimbo za kiutamaduni tu! lolusiniambie madam, mbona huo ni wimbo wa bongo fleva.
akipiga mpe mkeo amalize mchezo.
ni kweli usemacho..isitoshe wife wangu hapndi kabisa mambo ya kujibizana na watu kwa ishu kama hizi..(nilishawahi kumwambia aongee nae akakataa )...nashukuru Mungu mke wangu ni muelewa na isitoshe huyo mdada najua kashachoka saiz maana ameona kila anachofanya mi ndo kwanza niko bize na wife, so nahisi kaamua kubwaga manyanga na huyo mshikaji wake naye kimya..the best way i learnt ya kuepuka matatizo haya ni just kum ignore the person you see is causing problem..atajiona mjinga ataacha tu...thats what happened!!Kuna wanawake wengine wanajua kutukana i see mie simshauri ampe wife mtarajiwa simu kuongea maana inaonekana huyo dada amepinda ,Mtarajiwa anaweza kushindwa handle maneno ya huyo bi dada ,atafute tu namna ya kusolve hili jambo
Napenda nikujulishe kuwa usidhani mkeo hapendi kujibizana na huyo X wako,ni kweli usemacho..isitoshe wife wangu hapndi kabisa mambo ya kujibizana na watu kwa ishu kama hizi..(nilishawahi kumwambia aongee nae akakataa )...nashukuru Mungu mke wangu ni muelewa na isitoshe huyo mdada najua kashachoka saiz maana ameona kila anachofanya mi ndo kwanza niko bize na wife, so nahisi kaamua kubwaga manyanga na huyo mshikaji wake naye kimya..the best way i learnt ya kuepuka matatizo haya ni just kum ignore the person you see is causing problem..atajiona mjinga ataacha tu...thats what happened!!