Ananitega

Ananitega

Lutala

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
848
Reaction score
104
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
 
Afadhali umejua hilo mapema. Jichunge usiharibu ndoa na familia yako.
 
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
Tangu umeoa ushawahi kutegwa au hii ndo first time?
 
Ushauri wangu, kwa kuwa umeoa na una watoto. ACHA KABISA HII KITU. Starehe ya nyama itakuwa ile ile.
 
mwonjeshe mara moja tu kisha mwambie hajui 'game'. mwambie my wife wako ni bora kuliko yeye:eek2:

source: jf
 
Nishawaahi kutegwa lakini safari hii naona kanma nashindwa kujizuia

wacha ufala..au umeshadungua sasa unapima madhara yake....utatembea bucha zote lakini nyama ni ile ile.
 
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa maana anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
mkuu apo unafahamu kitu kinaitwa kudumisha mila?
 
Jamani nimeona bora nimfumue tu maana anaweza kunidharau..... na katika maisha yangu dharau sipendi kabisa.
 
wacha ufala..au umeshadungua sasa unapima madhara yake....utatembea bucha zote lakini nyama ni ile ile.

Sijawahi kudungua lakini ninakoelekea ni kudungua. Maana lazima nitunze heshima ya ngariba
 
Wewe inaonesha ushamukolea huyo mdada yuko njema tena kuliko mkeo? ulishaoa kwanini usijiue la kufanya?
Ndugu yangu kama hujawahi kuuza timu nje basi naona unaelekea huko. Na ukiuza tu utakuja kujuta kwa yatakayokukuta. Utaharibu ndoa na mwisho uwatese watoto wako. MGANDE MKEO AKUTIMIZIE UMSAHAU HUYO aliyekuganda.
VUNJA UKIMYA MWAMBIE MKEO UNATAKA AWEJE NA UMWANDAE UMFURAHIE!!!!
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. .... Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
 
Back
Top Bottom