Tangu umeoa ushawahi kutegwa au hii ndo first time?Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
Nishawaahi kutegwa lakini safari hii naona kanma nashindwa kujizuia
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. .... Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
hahahaha hapa naona ni wewe umempenda sio mitego yake ndo maana unadhibitisha mwenyewe hapa chini...Nishawahi lakini safari hii balaaaaaaaaa
Dumisha mila kiongozi wala hakuna ubaya.....Wapi kaka, walaaaaa yeye mwenyewe tu na ungedere wake. na sasa namlipua pu