Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
na ukimwi je??usikute anataka kukusakizia we haya!!!tena shoga wa mkeo huyo ana lake jambo,je MKEO AKITEMBEA NA RAFIKIYO UTAFURAHI WEWE,MAANA MUOSHA HUOSHWA,MUOGOPE MUNGU ,
Jamani nimeona bora nimfumue tu maana anaweza kunidharau..... na katika maisha yangu dharau sipendi kabisa.

Wewe Uporoto mbona unampoteza mwenzako?
Akinogewa na uhondo wa ngoma je, si ataingia acheze kikamilifu? Na hapo ndipo atakuta mwisho shoga anamgeuzia kibao mke wake na kuanza kumfanyia vituko vya kila aina.
Tahadhari tahadhari tahadhari, mti na macho!
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.