Ananitia hasira

JESUS IS MY HOME BOY.

Kama kweli Jesus is u r home kamwe huwezi kusema anakutia hasira maana Bibilia inasema "..... HASIRA ya mwanadamu haitendi haki ya Mungu" (Yakobo 1:20)

kama ni rafiki yako Ongeza Upendo na hayo matatizo madogo unaweza msaidia kwa kumuelelisha kuitwa honey, swty, na majina mengine kama unaona yanakukwaza basi mwambie tu ili asiendele kukuita.
 
Mamushka priz I rav u, piga msasa dada sugua na polish darii! Wakaka msinimind dont mean to offend my brothers.. but most of Tz women are polished than men. I used to hv a boss kasoma, smart etc. ila hizo tugeza na anaza duh.. Unaweza ishia kucheka usisikie point iliyoongelewa! Etiquette kupolish ni rahisi but acsent ni tatizo la kitaifa duh? That is only one example mifano mingine kapuni
 
Wewe umeshampenda huyo! Kama humjali sasa unahudhika nini? Mashariki ya mbali kuvuta fyuu na kucheua heshima bwana. Inaonyesha umependa chakula.
 
mamushka kila mtu ana mapungufu yake,na darii naye hayo ndiye mapungufu yake.
nenda naye pole pole,acha kukasirika kasirika bibie kwa vitu vidogo vidogo utaharibu reception kwa makunyanzi bure!
Haaa haaaa Cheusi nilikua sijakuskia ndugu yangu, we acha tu ila Dari amepananda huyo heeee ila ananiudhi anavoongea kwa kudekaa Darii uwii, mi staki.
 
atakuwa muarabu huyo
 
Ukiona mambo yake yanakukera na unataka kumbadili ujue jamaa kaanza kuingia moyoni polepole.
 

mamushka, mie sijakuelewa wewe unaelalamika...Ni kwamba humpendi yeye kama yeye au hupendi anavyoongea??? (lafudhi) na jinsi anavyokula??? koz lafudhi itakua ngumu sana kurekebishika ndo maana unaota hata Rweikaza Mukandala na uproff wake bado anasema goingi...koz kakulia BK na ulimi ukakubali KIHAYA so kila lugha atakayojifunza itakuwa anaendana na kihaya.

Kuhusu kula hilo swala dogo sana. jamaa anaweza kujirekebisha au ukamrekebisha. Cha msingi ni wewe kujua kama unampenda au humpendi. Kuna wengine huwa wana act esp. mimi na tukishamega ndo utatujua tu watu wa dizaini gani..............
 
Thank you atoti nilidhani mimi tu ndo hua naona vitu kama hivyo.
 

Mamushka dia Kila mwanadamu anatabia ambazo zinakera wengine/wenzake ambazo mara nyingi m2 anakua amezaliwa nazo ila hajijui so kwa hz ulizozitaja za hy mkaka nimojawapo ila zinarekebishika msaidie kama rafiki yako na naamini ataacha
hapo mmerudia kosa lilelile kumuita jina hilo mwenyewe ana alergy nalo
Haaa haaaa Cheusi nilikua sijakuskia ndugu yangu, we acha tu ila Dari amepananda huyo heeee ila ananiudhi anavoongea kwa kudekaa Darii uwii, mi staki.
kwa hapa inaonesha umeshampenda huyo jamaa usibishe.tafuta muda tu wa kumrekebisha hivyo vitabia then baada ya hapo kanyaga twende dariiiii,haniiiii utatamani akutamkie siku nzima.
 

Darii mamushika asante sana honey kwa kutupa taarifa hii. Ukweli ni kuwa hata mimi huwa nakunywa chai kwa kuvuta "fyuu" hasa kama ina moto mkali. Vinginevyo inabidi niiache ipoe kabisa. Hii ni kwa sababu sipendi kuungua mdomo.Hivi kumbe huwa inaudhi watu wengine.kuhusu lafudhi huwa nachanganya L na R kutokana na asili yangu. Hii nayo sikujua kuwa inaudhi watu. Sasa my sweet banana mamushika hivi ukiacha hivi vijitabia usivyopenda unamuonaje huyu darii anauzika? Unaweza kumuunganisha na one of your lady friends kama hutamind sana. After all that is what friends are for.
 
Sasa unatulalamikia sisi? Kama una nguvu ya kuweza kukaa chini, ku log in Jamii forum, kuanza kutype haya yote, kwanini usitumie jitihada hiz hizo kumeambia huyo kaka?

Pili kwani umelazimishwa kuwa nae, you are just friends, kama mlivoanza basi unaweza mkaachana...! Just leaave hima alone na hizo tabia zake kuliko kuendelea kuwa nae halafu unakuja kumponda hapa kaka wa watu...!

nafikiri wewe ndio unamatatizo zaidi kuliko huyo kaka...!
 
To tell the truth, this thread and its subsequent advice, reminded me of my old days, I used to see people in the glory of their wellbeing and secretly wished my bf to be similar to the picture perfect men I saw with my friends and on the movies, little did I know tht, wht made them that way was their lifestyle and how they respond to society and their upbringing, I married a man far from all that I had set my targets for, and today I can proudly say this man is the best by far and then some, I have learned that u don't change men, when you look at them in view of their flaws, u r limiting urself, I looked @ my man on his love for me which I had never doubted and this changed the way I look at him, my changing also changed him, he is the envy of my girlfriends, the most caring man and truly I have never ever regretted meeting and marrying him when I did, what am trying to say is, when we met, he was the most annoying human being that I have encountered, the transformation he went through was a result of the love I had for him, that wasn't limited to the flaws he initially had, he is the will smith of my life..be careful in changing people or things u have no control of...
 

Good for you sister!
 

Tata kwakweli darii anauzika kabisaa, kwanza, ana kimo kizuri tu wadada wanachopenda, pia ni ameenda shule na ni faita kishenzi his good kwakweli. Umenipa wazo zuri ntampatia rafikiangu ninaeona ana stahili.
 
Take it easy! If he is just a friend then try to advice him on those issues..

If you feel that you love him then do hate him that much!!!
 
Pole..... Kaazi kweli... Ongea nae kwa utaratibu! atakuelewa. Ila kumbuka watu wa namna hiyo, mwishowe anakuwa ndio mumeo.....

Kwa hilo nakuamini, nimeshuhudia mwenyewe rafiki yangu kaolewa na mtu aliyekuwa akimkandia hapo awali, ampe muda tu atashangaa kashakuwa Babushka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…