Anaomba connection ya ajira

Anaomba connection ya ajira

Laswell

Senior Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
144
Reaction score
191
Salaam wakuu. Kuna jamaa ni mtaalamu wa mitambo ya viwandani anaomba kupata sehemu ya kupiga kazi. Anauzoefu wakutosha kwani alishafanya kwa muda mrefu kwenye moja kati ya viwanda vikubwa vya sukari hapa nchini.

Mwingine ni mdogo wangu wakike.Ana Bachelor of art in geography and
environment studies.Anaomba msaada wa kujishikiza kwenye taasisi yoyote inayotoa huduma zinazoendana na elimu yake. Pia anauzoefu wa kutosha kwani ameshafanya kazi kweny taasisi za utunzaji wa mazingira . Kwa atakaekuwa na nafasi ya kusaidia nitampa namba za wahusika wawasiliane.
 
Back
Top Bottom