Anaomba kozi vyuo vya afya mtandaoni. Naweza kumlipia app.fee m-pesa kwa namba yangu?

Anaomba kozi vyuo vya afya mtandaoni. Naweza kumlipia app.fee m-pesa kwa namba yangu?

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
917
Reaction score
1,201
KANITUMIA DETAILS ZAKE ZOTE, JE, NAWEZA KUMUOMBEA KOZI? NA PALE KWENYE KULIPIA KWA M-pesa NAWEZA KUTUMIA NAMBA YANGU?
 
Yote yanawezekana knachomata ni ww kupata code za kuingia tcu, kwisha haijarishi umenunua wapi then unafanya mambo ni kama unanawa
 
Yuko kijijini kaniomba nimsaidie mwanae..!
Sasa kuna appl.fee inalipwa kwa m-pesa, ndo najiuliza nitumie namba yangu?
 
Back
Top Bottom