N NANGA WA DEPO JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 917 Reaction score 1,201 Jun 20, 2015 #1 KANITUMIA DETAILS ZAKE ZOTE, JE, NAWEZA KUMUOMBEA KOZI? NA PALE KWENYE KULIPIA KWA M-pesa NAWEZA KUTUMIA NAMBA YANGU?
KANITUMIA DETAILS ZAKE ZOTE, JE, NAWEZA KUMUOMBEA KOZI? NA PALE KWENYE KULIPIA KWA M-pesa NAWEZA KUTUMIA NAMBA YANGU?
pyzo Member Joined Oct 17, 2013 Posts 51 Reaction score 3 Jun 20, 2015 #2 Yote yanawezekana knachomata ni ww kupata code za kuingia tcu, kwisha haijarishi umenunua wapi then unafanya mambo ni kama unanawa
Yote yanawezekana knachomata ni ww kupata code za kuingia tcu, kwisha haijarishi umenunua wapi then unafanya mambo ni kama unanawa
N NANGA WA DEPO JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 917 Reaction score 1,201 Jun 20, 2015 Thread starter #3 Yuko kijijini kaniomba nimsaidie mwanae..! Sasa kuna appl.fee inalipwa kwa m-pesa, ndo najiuliza nitumie namba yangu?
Yuko kijijini kaniomba nimsaidie mwanae..! Sasa kuna appl.fee inalipwa kwa m-pesa, ndo najiuliza nitumie namba yangu?
wamidosho JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 456 Reaction score 424 Jun 20, 2015 #4 tumia hakuna tatizo cha muhimu upate tu izo codes