Anaomba ushauri afanyeje?

dah haka katoto kaongo kweli, si ndo kale kanakotafuta eti mchumba?!!!
 

Laiti kama kungekuwa na technologia ya kuwezesha kula mtu aaandike kwa mwandiko wake humu, mumeo angegundua umemtangaza kwamba ana kibamia, na ndoa ingevunjika! Halafu ungekwenda kwa huyo jamaa a''liyejaaliwa'' angegundua kwamba umeachika, naye angekufukuzilia mbali.
 
dada lisa tuliza akilia unapokua na mumeo,naamini anakurithisha na ndo maana ulikubali akuoe kwan unapokua nae unamuwaza huyo wa pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…