Wakuu heshima yenu,
Kuna dogo ana ndoto ya kuwa mwandishi wa habari na muaandaji wa vipindi vya TV na redio.
Anaomba kuelekezwa chuo kizuri cha taaluma hiyo kwa ngazi ya diploma kiwe cha serikali au cha binafsi ili aweze kutimiza ndoto yake.
Natanguliza shukrani