Anaomba Ushauri (very interesting)

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
kuna jamaa mmoja alikwahi kuandika ktk mtandao fulani kuwa anamba ushauri ufuatao

.....kuna jamaa ana girl friend na ktk ku-do kuna siku wakati wamemaliza round moja wakiwa wamejibrekisha huku mchuchu wake akiwa kalala uchi jamaa alikuwa anavuta sigara wakati anavuta muda kwenda round ya pili sasa kama mzaa akawa anavuta halafu anampulizia ule moshi mchuchu wake ukeni na anadai demu wake alikuwa anasikia raha sana na baada ya hapo ikawa kila siku wakichinja kobe lazima ampulizie moshi wa sigara ikulu na anasema uwa inampa raha sana demu wake na uwa anaomba mwenyewe apuliziwe sasa mdau anaomba ushauri kujua kama hiyo kitu ina madhara kiafya....

nawasilisha
 
Ha! acheni mambo ya kishetani jamani... hata sigara..
 
Ana hatari kweli kweli huyo binti...magonjwa mengine tunajiuliza yanatoka wapi kumbe tunatafuta wenyewe..
 
Ana hatari kweli kweli huyo binti...magonjwa mengine tunajiuliza yanatoka wapi kumbe tunatafuta wenyewe..
hapo anaweza kutuletea UKIMWI mpya kama ule wa China
 
kwani lazima moshi wa sigara? na ampulize kwa pumzi zake mwenyewe natumai raha itakuwa pale pale
 
Anaweza kujikuta anamgeuza huyo mdada guinea pig kwa kufanya utafiti ambao haujawahi fanyika mahali pengine duniani.Mwambie awe aki monitor maendeleo na kurekodi matokeo ya utafiti. Siku ya siku atuambie imetokea nini!



IM JUST KIDDING! MWAMBIE AACHE MARA MOJA MAANA HAJUI MADHARA GANI YANAWEZA KUMPATA HUYO MDADA.
 
mmm japokuwa mie si mtaalamu wa afya, ila kuna uwezekano mkubwa wa huo moshi kuwa na madhara, sigara tunaambiwa kila siku yule anayevuta fegi apati madhara makubwa kama yule anayepokea ule moshi wa mvutaji.
 
mmm japokuwa mie si mtaalamu wa afya, ila kuna uwezekano mkubwa wa huo moshi kuwa na madhara, sigara tunaambiwa kila siku yule anayevuta fegi apati madhara makubwa kama yule anayepokea ule moshi wa mvutaji.


jamani mbona hivyo kama mashine nayo inataka kuvta kwa nini isifurahi kwenye gazeti nimeona usitumie chini ya miaka 18 na machine ina zaidi ya miaka kuminane jamani loh??kwani wapi wameandika mdomo ndio sehemu ya kuvutia sigara....nani mbona kawaida tunajua starehe ya ndoa ni viuongo kwa viungo sasa huo mdomo unafaya ninni uko .;ok gud na kama mdomo unfurahi wacheni na mashine nayo ifurahi jamani...haya new techno
 
Embu vuta bangi ndugu yangu umpulizie kidogo uje kutupa amejisikiaje ladha yake maana kama sigara inafurahisha bangi si aatakuwa anaililia kila siku
 
Mh... lazima hiyo venue itakua na harufu mbaya sana..... majasho, other body fluids na unaongezea sigara?? it doesnt sound very hygienic!

Pia waangalie madhara ya ule moshi kwenye hizo epithelial wall za dada [kama moshi unaingia ndani] waweza kuta wanaandaa kansa na jamaa
 
Kama kupuliziwa sigara ni hatari,je wanawake wanaojifukiza ubani nao wako salama kiasi gani?
 
tabia nyingine jamani hazifai-tuache utani.
 
Anaweza kujikuta anamgeuza huyo mdada guinea pig kwa kufanya utafiti ambao haujawahi fanyika mahali pengine duniani.Mwambie awe aki monitor maendeleo na kurekodi matokeo ya utafiti. Siku ya siku atuambie imetokea nini!
nimejikuta naangua kicheko kwa nguvu ofisini aisee!!!
 
mmmh!wanakoelekea,iko siku ataomba ikuru ishikishwe kabisa sigara ivute yenyewe!
 
vyumba na vitanda vinabeba siri nyingi sana vingekuwa vinasema ingekuwa balaa
 
Yaani ukiangalia post ukachanganya na comments do nimebaki nacheka tu:becky::becky::becky::becky:
 

- mmhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…