Jilanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 255
- 40
Mnamo April 2008 Rafiki yangu {Patriot} amekuwa akichat na binti anayejitambulisha kwa jina la Julieth! Wakati huo Patriot Akiwa 4m five Nsumba Sec Mwanza!
Hawajawahi kuonana face to face kwani Rafik yangu yupo Rock-city na bint yuko Ar! Bint mwanzo aljidai kukosea no lakini kadri muda ulivyozidi kwenda alpendezwa na busara za Bwana Patriot kwani alikuwa mkweli na Mcha Mungu na hatimaye akataka wawe wapenzi! Patriot hakuridhia ombi la Julieth na kumtaka wafahamiane zaidi!
Julieth alitoa wasifu wake kuwa ni Mcha Mungu, Mkweli, Hajui tendo la ndoa,{Bikra} hajui harufu ya Pombe wakati huo alikuwa kidato cha nne '09 na kwamba ni get kali kupita maelezo! Japo saivi yupo home baada ya kumaliza kidato cha sita.
Patriot anahofu Juu ya Julieth kuwa huenda asiwe binadamu wa kawaida kwan anajua vitu vingi sana kuhusu Patriot na maisha kwa ujumla na wakati mwingi Pat akimzungumzi tu, either anamtext or anapigiwa Cm!
Julieth amemwomba Patriot waonane Pasaka Jijin Ar! Gharama za usafiri Malaza, chakula Bint atagharamia!
Je unamshauri nini Kijana Patriot juu ya jambo hli? Je aende au apotezee? Je Kunauwezekano wakaona?