anapass form IV,form VI chali

shareef95nes

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
108
Reaction score
16
habari zenu wakuu.
hivi hii inatokana na nini wakuu maana inanishangaza sana,mwanafunzi anafanya vizuri form IV alafu six anafeli,sijui ni sifa,mapenzi,ovakonfidensi au nn?
 
Level mpya na mambo mapya,safari ya advance huwa inaanza upya kama ile ya kutoka primary kwenda secondary,na haijalishi huko nyuma ulikuwa na point ngapi.Vile vile over confidence na kubweteka ni sababu kuuuubwa inayosababisha hayo.
 
kweli mkuu,maana kunawengine walipiga I zaukweli tu ila form six chali
 
Kumbe ndo hivyo wakuu.Ngoja tufate yenu

Ndo ivo bana,kule ukibweteka na one yako unaliwa.Mi nakumbuka sisi tuliokuwa na 13 tumekuja kuwagap hata waliokuwa na 7,8 na 9.Cha msingi ni kukaza zaidi mpaka kieleweke.
 
Ndo ivo bana,kule ukibweteka na one yako unaliwa.Mi nakumbuka sisi tuliokuwa na 13 tumekuja kuwagap hata waliokuwa na 7,8 na 9.Cha msingi ni kukaza zaidi mpaka kieleweke.

duuh!!! kweli A LEVEL haitaki masikhara
 
Na vp mimi mzee hana uwezo wa kunilipia tution isipokuwa hapa nyumbani kunavitabu vya comb nayoenda kusoma.itakuwa na effect yoyote nikienda bila kusoma tution Mkuu.
 
Na vp mimi mzee hana uwezo wa kunilipia tution isipokuwa hapa nyumbani kunavitabu vya comb nayoenda kusoma.itakuwa na effect yoyote nikienda bila kusoma tution Mkuu.

kweni unapiga comb gani mkuu?
 
Na vp mimi mzee hana uwezo wa kunilipia tution isipokuwa hapa nyumbani kunavitabu vya comb nayoenda kusoma.itakuwa na effect yoyote nikienda bila kusoma tution Mkuu.

Asee we nenda kakomae tu utachomoka fresh kabisa.Vile vile tafuta mtu akusaidie kukupiga pindi kwa muda huu wa likizo ila vitopic vingine unaweza kukomaa navyo mwenyewe kama una uwezo.Mfano mechanics unaweza kuisongesha mdogo mdogo endapo una uwezo wa kupiga msuli yatima.
 
oky i'll do that.vp vitabu vya chand ni vizuri mkuu
 
oky i'll do that.vp vitabu vya chand ni vizuri mkuu

Kusema kweli vile vitabu ni vizuri sana sababu havina complications nyingi,vinaeleweka na vina maswali mengi yakiwemo na yale ya conceptual ambayo ni muhimu sana.Hata mimi kusema kweli ndo vilinitoa,sikucomplicate na ma UP na Roger,ila wewe komaa na vitabu vingi as possible.
 
Msuli Yatima! Ndebile ameipenda, thank you kijana!
 
Last edited by a moderator:
msuli yatima ndo mpango co kila ki2 lzm ufundishwe. Adv ucbweteke,ukibweteka tu necta wanakula kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…