Ukiwa na Shida yoyote ileWakuu habar zenu
Kama nilivyoanza hapo juu mke wangu anapokuwa period anapata maumivu makali kwenye ut Wa mgongo
Kichefu chefu
Kizungu zungu
Na mwili kupoteza nguvu na miguu kumkauka
Kwa mwenye kujua nini tatizo na nini tiba yake naomba amsaidie maana anateseka
Mtr96
Sawa mkuu nimekupataUkiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Mtafutie pilipili hoho nyekundu ama za njano awe anatumia kama viungo zitamsaidia sana kumaliza hilo tatizo, pia tumia asali kijiko kimoja asbh na kimoja jioni achanganye na mdarasini uliosagwa, pia kitunguu swaumu viwili asbh na jioni avimeze anywe na maji.Wakuu habar zenu
Kama nilivyoanza hapo juu mke wangu anapokuwa period anapata maumivu makali kwenye ut Wa mgongo
Kichefu chefu
Kizungu zungu
Na mwili kupoteza nguvu na miguu kumkauka
Kwa mwenye kujua nini tatizo na nini tiba yake naomba amsaidie maana anateseka
Mtr96
Asante mkuuMtafutie pilipili hoho nyekundu ama za njano awe anatumia kama viungo zitamsaidia sana kumaliza hilo tatizo, pia tumia asali kijiko kimoja asbh na kimoja jioni achanganye na mdarasini uliosagwa, pia kitunguu swaumu viwili asbh na jioni avimeze anywe na maji.
Ukizingatia tu hayo period inayofatia atakua poa kabisa na maumivu zitaisha kama sio kupungua
Kabla ya hedhi ana miaka 24Umri wake?
Shida ina muda gan?
Amewahi kuzaa?
Kashawahi kupata shida/ magonjwa yoyote ya njia ya uzazi?
ameolewa/ana bwana?
Maumivu yanaanza kabla ya hedhi au akiwa kwenye hedhi?
Je maumivu yanaendelea baadha ya hedhi?
Pole yake! Aina hii ya wanaume nj adimu unaumia kwa ajili ya mkeo hadi unaomba ushauri cyo kina baba marwa wao ni balaa!Wakuu habar zenu