Anapenda kujichanganya na wanaume.... Ushauri plz!

Kuna mshkaji wangu alikuja kwangu analalamika kuwa mkewe anamsifia sana John Mnyika..
ofcoz nilishangaa..but the guy was serious..
hata nilipomuambia kuwa Mnyika was a public figure..the guy still wasn't happy!
SnowBall ndivyo wanaume mlivyo aisee. miye huwa siwez kufanya kosa hili kwa mume wangu manake najua atakasirika. ngoja nikuchekeshe miye nina watoto 4 wote wakaka na wananipenda sana kila mara huwa wananikumbatia mama tunakupenda and they call me kila mmoja kwa jina lake like kama anaitwa clein basi ataniita mama clein umeona. sasa hapa napata upinzani sana kwa mr mnake wakinikumbatia na kunibusu utamsikia hebu njoo mara moja ukienda hakuna cha maana kumbe ni wivu tu anawaonea hata wanae.

and you can feel it pale anapokwambia mbona wanakukumbatia sana kuliko mimi ama anasema ningekuwa na kadada kangekuwa na mimi kananikumbatia. ukiona hivyo inabidi nitumie busara ya kumsogeza kwangau zaid huyu baba kuliko watoto ni ngumu sana kubalancce.
 
Last edited by a moderator:

Wakati mwingine huwa nadhani kama mtu una'do' naye inakuwa ngumu kum'expose' unnecessarily..
Sema haya mambo hayanaga formula..but do you think..in most cases inakuwa kama hivyo mnavyodhani kwa huyu shemeji yenu??..kwamba atajwaye sana but anahusika?
 
gfsonwin sasa huu ni WIVU? au ni nini? yaani hata wanao?
Nachelea sana kuita huu kama ni wivu..lol!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo kama wana do evidence tunayo...sitaki kuanika kila kitu humu maana wahusika wasije kujijua. Evidence ipo...na rafiki yangu urafiki wa mume wake na huyo dada haupendi...ila mume wake ni mbabe tu...na mdada anajidai kauzu.

Tatizo la rafiki yangu hana jeuri ya kumpa mtu za uso. Mimi ningemchimba biti huyo dada na asingemsogelea mume wangu tena in the name of urafiki....urafiki my foot!

Yeye anabaki kulia lia pembeni.

Na si suala la ku mu expose...situation ilivyo ni complicated tungejua tu watake wasitake kwani kuna interaction kubwa kati yangu, rafiki yangu na huyo rafiki ya mume wa rafiki yangu, na mume wa rafiki yangu...tuna ka business relation fulani hivi. Hivyo urafiki wao hauwezi kuwa siri


Wakati mwingine huwa nadhani kama mtu una'do' naye inakuwa ngumu kum'expose' unnecessarily..
Sema haya mambo hayanaga formula..but do you think..in most cases inakuwa kama hivyo mnavyodhani kwa huyu shemeji yenu??..kwamba atajwaye sana but anahusika?
 
gfsonwin sasa huu ni WIVU? au ni nini? yaani hata wanao?
Nachelea sana kuita huu kama ni wivu..lol!

This is typical jealous and to men is established when wife devotes her time to kids, especially her passionate time. ujue as mother kuna muda you need to show your kids that you love them, lazima utawakumbati autawabusu, sometimes unawabeba so the passionate in it huwa kwa wababa nawakwaza sana na ndio maana wengine hudiriki kusema toka tupate watoto upendo umehama but siyo kweli ni kwasababua tu ya uselfish wa wababa wanataka hata muda wa kuwa na watoto uwe naye.
 
Na kwa tabia ya huyo mdada ilivyo...mume wa rafiki yangu hawezi ku claim ownership ..say kumwita nyumba ndogo kwani hata yeye anajua ni cha wote... nakwambia ni chupi mkononi...Hivyo jamaa anapiga akizidiwa. Na ana marafiki wengi tu wa kiume na ndio wanaomfanya dili zake ziende.
 
Makubwaaaa! Ni wivu tu unakusumbua. Unapenda akae na wadada wapige umbea...
Mie napenda Marafiki wa kiume kuliko wa kike.
 
Reactions: LD
Na kwa tabia ya huyo mdada ilivyo...mume wa rafiki yangu hawezi ku claim ownership ..say kumwita nyumba ndogo kwani hata yeye anajua ni cha wote... nakwambia ni chupi mkononi...

dah, huyu dada si afadhali asivae chupi kabisa ili awe tayari kwa mpambano kila anapohitajika....
 

bro kupiga story na wanaume xio kutenda tena wa hvyo ndo huwa wagumu kutoa kinoma.
 
Kuna wadada hasa wanaoishi kwa madili wanapenda ku befriend watu influential si urafiki tu...friends with benefits.

Sasa ndio mshangae kama ni urafiki wa kutoka rohoni kwa nini wanachagua watu fulani fulani???
 
mmh, hivi hii ipo?

yaaani kaka asikwambie mtu wababa wengi sana wana wivu juu ya watoto wao wa kiume hasa pale wanapokuwa wananaonyeshwa mapenzi manake nyie mko kila kitu mnapenda mfanyiwe nyie tu.

kama wewe huna hii mshukuru sana Mungu aisee.
 
angalia hao anaokaa nao wana tabia zipi? kama ni wavuta bangi aache mara moja.
 
Reactions: LD
Kama hilo ni kosa na sababu ya kuachwa kwenye mahusiano naona na mimi nilitanikumba!!!! Tangia ninasoma nimekuwa na kampani ya wavulana/wanaume wengi kuliko wanawake/mabinti. Nimefanyakazi katika mzingira ya wanaume zaidiiiiiiiiiiiiiiiiii

Na mpaka sasa nafanya kazi ofisi ambayo wanaume ni wengi kuliko wanawake na kwa bahati nzuri mi mwanamke peke angu......Life langu lipo happy manake hakuna shosti wakushindana naye mambo....navaa nikipendacho kwa mapenzi yangu....Niko nilivyo kwa matakwa yangu mimi, sishindani na mtu wala nini.

Rafiki yangu wa kike ni ndugu yangu mmoja hivi yani huyo ndo wakupiga naye stori za kike kike.....hakuna Umbeya wala nini......maisha yanakwenda safi sana ukiwa na marafiki wa kiume. Wanaongea ukweli kuhusu wao wenyewe....wanakupa mbinu za kujua life linavyokwenda. Ahiiiii we ukitaka uwe na maisha safi bahatika kuwa na marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike.
 
Hadi naogopa kwa kweli, maana unaniiga mawazo.

Wasichana walio kisichana sana wanachosha aisee, afu afu . . . .

 
Vipi ndugu unahisi jamaa wanapiga mtungo?
Mlipoanza urafiki alikuwa anatabia ya kupiga story na kina nani?
 
asije akawa ni toyboy...maana kwanini hapendi kujimix na gals
 

dada gfsonwin, na je ni kweli wanawake hampendani?
 
Last edited by a moderator:
mfanyie 'background check'; it is possible katika makuzi yake ametokea ku-interact zaidi na wavulana kuliko wasichana wenzake, which might not necessarily be a bad thing

Acha wivu kaka, huyo atakuwa amezaliwa kwenye wavulana wengi. Ataacha taratibu siyo kitu cha mwezi au mwaka, mpe muda ataacha mwenyewe.

Othewise utakuwa unamuonea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…