Anapenda kunyonya kidole nakushika chuchu!

Mkuu kama anafanya hayo mbele za watu kwenye kadamnasi basi itapelekea watu kumshangaa na kuona hayupo serious au hana adabu (kushika nyonyo mbele za watu) ila kama anafanya hii chumbani hakuna neno.

Its not socially okay kufanya hii mbele za watu.., usigombane nae wala usimgombeze jaribu tu kumuonyesha madhara ya hii socially

nimegoogle nimepata hii information kwa adults


Na hapa kwa watoto

 
Ni kweli kwa watoto kinazuilika. Tatizo wazazi wengi wanashangilia watoto wao wakinyonya kidole, wanasema watoto wanaonyonya kidole ni wapole hawalii. Most of them hawajuhi side effect kama dental formular lol. Na ni very expensive kuyarudisha meno kwenye hali ya kawaida. Mimi mwanangu nilimzuia akiwa below 1 year kweli inawezekana. Nilikuwa namfunga plasta na kwa kuwa alikuwa mdogo alikuwa hana ujanja wa kufungua. Ila nilikuwa nambadili hizo plasta mara kwa mara (maana si unajua zina change colour) ndani ya wiki mbili alikuwa keshasahau kuna kunyonya kidole. Na nafikiri kidole kinarithi; kwetu tumenyonya kama mtu tatu, na watoto zetu wamezaliwa na hako katabia ila mi nlimstop.

 
Kuna kavulana hapa kananyonya ulimi nakushika kitambaa, hakasikii kabisa, kasije kimbiwa na wachumba bure.

Jinsi jamaa alivyoandika sikuwa na cha kujiuliza nimekonkludi mtoa mada ni mwanaume. Ameandika kimfumo dume dume. Lol.
 
Sijaelewa ni nani anafanya hivyo na kwa nani? me kwa fe au fe kwa me?


Hapa rejea lile tangazo la baba clement anavyoshukuru kupokea pesa kutoka kwa clement. Aksante, sana sana Elli, nilitaka kuuliza swali kama hili hila nilikuwa sijui niulizeje.
 
Hapa rejea lile tangazo la baba clement anavyoshukuru kupokea pesa kutoka kwa clement. Aksante, sana sana Elli, nilitaka kuuliza swali kama hili hila nilikuwa sijui niulizeje.

Fe kwa me
 
Kuna kavulana hapa kananyonya ulimi nakushika kitambaa, hakasikii kabisa, kasije kimbiwa na wachumba bure.

kongosho!topic hapa ni kunyonya kidole!hako kavulana kako kananyonya ulimi?wa kwake mwenyewe au wako?
 
Anafanya hivyo mkiwa peke yenu au hata mbele za watu?
 
Mwache kwa raha zake, wewe unavyochokonowa pua na kutia vigaga vya kamasi mdomoni mbona anakuacha kwa raha zako!
 
kaka haya mambo yanarithishana nadhan kwan sisi tatizo kwe familia yetu ni kula kucha ila mara nyingi hutokea wakati wa mitihan au asagnment (concentration period)mi nilijiconttol ila naona watoto wa sister wamerith ch umuhim ni kumueleza tu tatizo
 
Ulimi ndugu yangu ni mgumu kweli kumwachisha mtu. Kaka yangu ananyonya mpaka leo. Labda umwekee pilipili, nakutania... Ila ulimi si tatizo kama kidole.

Kuna kavulana hapa kananyonya ulimi nakushika kitambaa, hakasikii kabisa, kasije kimbiwa na wachumba bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…