Anapenda kunyonya kidole nakushika chuchu!

Kwani akijinyonya ndo inakuwaje? Binadamu tuna mambo!
 
kunyonya kidole ni tabia ya kawaida tu, mwambie aache kuchezea matiti sio vizuri...lakini usimkoromee mpaka akawa hana raha nanpokuwa na wewe
 
Kidole gani ananyonya? Mbona hakifikii? Huyo hana tatizo lolote, ila wewe. Baby wako anataka wewe ndo umnyonye. Bila shaka hukumbikri, basi huko alikokuwa alikuwa akinyonywa chuchu na kidole, raaaaaaaaaaaha. Mnyonye afurahi. Nimeamini kuwa ni kile kidole kingine cha akina mama, maana kama kingekuwa kidole cha mkononi ungekitaja wazi ...

 
Kunyonya kidole kawaida tu, ila hiyo ya kuchezea matiti sio nzuri, anaweza akapata saratani ya matiti. Matiti yameumbwa kwaajili ya watoto na sie wanaume. Atembelee MEWATA watamuelimisha zaidi.
 
dah pole sana coz hiyo inatokana na mazoea but kama una mpenda ukiwa unamwambia kila mara aache kwa ukali atakuwa anaogopa then hiyo tabiaa itaisha kabisa
 
makofi yakiambatana na kauli za moto hupunguza tatizo kama sio kutibu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…