Anapiga kelele sana mpaka naona aibu

Usikute anapiga kelele kuwaoshea majirani kwamba anaskia raha na kufaidi kumbe humfkishi popote ni zuga.

Danganya toto kula nyanya mbichi
Nimewaza hilo pia, utamu gani huo mpaka kelele hadi kero kwa majirani.
Kina dada wana mambo hawa, si ajabu jirani alikopondea sasa mke anataka kuonesha kua mumewe mwamba.

Mwanangu we kamua tu ..
 
Kama kwenye mrango wako wa ndani kwa juu kupo wazi weka box sauti ijirudie ndani iwe mbka mtu atoke nje dirishani ndio awasikie
 
Hahaa [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 
Wewe badala ya kusikilizia utamu unasikilizia milango ya wenzio!!!!
 
Hahaha
 
Ewaaaaa.

Na sauti awe nayo. Inayotokea deep deep.

Akiwa kama Iyobo bora aunyuti tu tutafika japo kwa taabu sana.

snowhite
Hivi we una nn?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Ila kweli mwana, Iyobo anyamaze tu mana naweza hisi mi ndo nakaza.
Hapana aiseeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…