Anapodai ushuhuda wa kupendwa........

balaa........... Actions speaks louder than words.

[MENTION]Ennie[MENTION] matendo kapewa lukuki lakini anachotaka sicho ninachotaka
 
Kyaiyembe You are very smart......wengi wameshindwa kuelewa ya kuwa hili ni fumbo ambalo halipaswi kwendewa kasi......kufafanua siwezi yabidi wewe utafune mwenyewe anachotaka nini na mie hicho atakacho ndicho kinaniletea kizungumkuti........lol
 
Last edited by a moderator:
maneno matupu bla vtendo ni sawa na kutengeneza pombe ya mbege bla ulez

Mapi unajuaje ni maneno matupu wakati keshapewwa mengi mwenzio lakini anaona hayamthibitishii kuwa anaweza kumwagwa pia..............
 
Last edited by a moderator:

MAMMAMIA nilichojifunza kama hajiamini ndivyo huwa hata umanyie nini anakuwa na wasiwasi kuwa pengine unamtegea wakati wewe hauko hivyo................ajiamini na hapo ndipo atajifunza kukuamini...........
 
Last edited by a moderator:

bombu haya matenzi murua umejifuinzia wapi nawe naon aumo kwenye chati hivi
 
Last edited by a moderator:
hakuna upendo mkali kama kupewa ATM card na pasiwedi ya main account 🙂

haya mengine ni aliflela ulela.

Kongosho main account utaijuaje kama hauko ndani ya nyumba ya moyo wangu...................kwanza nishibishe na kuridhika kwako khalafu mengineyo nitakujaa tu bila ya zengwe hata chembe ..lol
 
Last edited by a moderator:
MAMMAMIA nilichojifunza kama hajiamini ndivyo huwa hata umanyie nini anakuwa na wasiwasi kuwa pengine unamtegea wakati wewe hauko hivyo................ajiamini na hapo ndipo atajifunza kukuamini...........
Ruta Mkuu, hapo red ni ndipo palipo na msingi wa hoja nzima. Kujiamini, kuaminiana na kujiaminisha... likikosekana moja katika hayo, mapenzi yanakuwa mashakani.

Mmoja anaweza kujiamini lakini akawa hamwamini mwenzake,
Na anayeaminiwa asipojiaminisha, kinachotokea hapo.............
 
Kyaiyembe You are very smart......wengi wameshindwa kuelewa ya kuwa hili ni fumbo ambalo halipaswi kwendewa kasi......kufafanua siwezi yabidi wewe utafune mwenyewe anachotaka nini na mie hicho atakacho ndicho kinaniletea kizungumkuti........lol
Kweli he is smart.......nahisi kama fumbo liko kwenye "kutembelewa"..............inawezekana?
 
MAMMAMIA yaelekea tupo pamoja wengine wanafikiria ni michuzi hapewi ya kutosha la hasha
 
Last edited by a moderator:
Kyaiyembe You are very smart......wengi wameshindwa kuelewa ya kuwa hili ni fumbo ambalo halipaswi kwendewa kasi......kufafanua siwezi yabidi wewe utafune mwenyewe anachotaka nini na mie hicho atakacho ndicho kinaniletea kizungumkuti........lol
Hapo sasa!
Mkuu pima kina kabla ya mbizi yako.
Mimi nasema "Cheza sambamba na mdundo"
 
Hii ni my since a child, ambition sema tuu a path ya maisha imenipeperushaa mbaali. I'd like to be one of Malenga's in TZ,
Tehe, take this less serious Rutashubanyuma

bombu hebu niandikie tenzi la mahaba motomoto sasa hivi roho yangu ilainike........................
 
Last edited by a moderator:
yaani rutashumbanyuma unajua kujipendeza ww sa si utafute tu mwingine mbona tupo wengi?

mhhhhhhhhhhhhhhhhhh ummu kulthum kwani hujui weye ya kuwa fimbo ya mbali haiuwi nyoka?
 
Last edited by a moderator:
Kweli he is smart.......nahisi kama fumbo liko kwenye "kutembelewa"..............ina wezekana?

lemonade you are almost there..........lakini mtihani ni je anataka atembelewe kivipi hata kunifanya nami nipige baragumu? Siyo michuzi kam awengineo wanafikiria ila ni kutembelewa ndicho kilio chake...........
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa!
Mkuu pima kina kabla ya mbizi yako.
Mimi nasema "Cheza sambamba na mdundo"

Kyaiyembe nikimlegezea masharti atanitawala mie nimemshtukia...............
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…